Sambwe Shitambala

Dot com

Member
Nov 6, 2010
20
0
Wana Jf, CDM naomba kufahamu, Sambwe Shitambala alikubali kendelea kuwa M/kiti wa CDM Mbeya baada ya kuandikiwa barua na Dr. Slaa au kujiuzuru kwake kunaendelea?
 
Uchunguzi umegundua kuwa hana tuhuma zo zote na amesafishwa na chama. Tayari ameisharudi kazini.
 
Back
Top Bottom