Sambamba na ujenzi wa uwanja wa mpira wa kimataifa chato, Makonda aishawishi yanga ihamishie makao makuu Chato kutoka Jangwani

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,983
20,631
Nashauri kwamba,pamoja na juhudi kubwa za kuujenga uwanja wa kisasa wa mpira ambao utavutia wawekezaji

Nashauri kwamba lazima iwepo klabu kubwa ambayo itavutia mechi nyingi za kimataifa na mashabiki wengi.

Klabu pekee ambayo ni rahisi kueleweka no Yanga. Nashauri atumike makonda kuishawishi ihamishie makao makuu yake CHATO ili kuufanya uwanja huo uwe bize nankuvutia watalii na mashabiki duniani kote

Pia uwanja huo ufunguliwe na Barcelona au Real Madrid au Manchester City au United kutegemea ni timu ipi Mkuu wetu anaipenda

Kigumu Chama Tawala
 
Kigumu
 
Kwa taarifa yako sasa hivi hata Chato wakianzisha timu ya mpira itapanda madaraja yote ndani ya mwaka itakuwa ligi kuu. Baada ya hapo itakuwa inabeba makombe yote ya humu ndani kwa msaada wa watu wasiojulikana na vyombo vya dola. Timu hiyo itashindwa mechi za nje ya Tanzania tu kwani nguvu ya mkulu huko hazifiki, lakini hapa ndani itatumika mbinu inayowashindisha ccm sasa hivi kwenye uchaguzi.
 
TFF wataibeba kama Webb na Man U
 
Halafu kwa kukomeshea ligi kuu aihamishie huko na wizara zote ,bunge ,ikulu na TBC taifa kwa kuwa anapenda fontifedi itapendeza zaidi .
 
Kwa taarifa yako sasa hivi hata Chato wakianzisha timu ya mpira itapanda madaraja yote ndani ya mwaka itakuwa ligi kuu. Baada ya hapo itakuwa inabeba makombe yote ya humu ndani kwa msaada wa watu wasiojulikana na vyombo vya dola. Timu hiyo itashindwa mechi za nje ya Tanzania tu kwani nguvu ya mkulu huko hazifiki, lakini hapa ndani itatumika mbinu inayowashindisha ccm sasa hivi kwenye uchaguzi.
Kama waziri mkuu ameweza pandisha timu yake rais wa nchi anaanzaje kushindwa kwa mfano?
 
Kwa taarifa yako sasa hivi hata Chato wakianzisha timu ya mpira itapanda madaraja yote ndani ya mwaka itakuwa ligi kuu. Baada ya hapo itakuwa inabeba makombe yote ya humu ndani kwa msaada wa watu wasiojulikana na vyombo vya dola. Timu hiyo itashindwa mechi za nje ya Tanzania tu kwani nguvu ya mkulu huko hazifiki, lakini hapa ndani itatumika mbinu inayowashindisha ccm sasa hivi kwenye uchaguzi.
Kweli mkuu
 
Back
Top Bottom