Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 6,612
- 10,667
Duh,wabongo kwa kupenda kufanana mawazo hamjambo,haya namtakia kila la kheir huko aendako,ila kwangu mimi,champions league,europa,azisikie kwenye bomba kwani hayo kwangu mimi ni mafanikio zaidi ya kwenda kwenye timu ambayo kwenda huko ni ndoto ya alinacha
Unajaribu kusema nini mkuu
Unajua hao Genk wako na hali gani msimu huu ku quality ucl?
Kwamba epl zinazofeli kwenda ucl na europa sio bora kuliko vitimu vya baadhi ya ligi vinavyo quality kucheza ucl na europa kila mwaka?
Hivi New Castle, Evaton, Leicester nk ambazo ni muda sasa hazijacheza ucl/europa sio bora kuliko akina Maribo, opel nk wanao quality kila mwaka kutoka kwenye viligi vyao?
Kucheza ucl ni jambo jema na ndoto ya kila mchezaji lakini inategemea na timu pia
Leo hii huwezi kumtoa mchezaji Asernal aende Malibor sababu eti ina qualify ucl kila mwaka
Wachezaji woote wanaocheza ligi ndogo za ulaya ndoto zao ni kwenda ligi kubwa ulaya sababu ya exposure na malipo mazuri zaidi
So inapotokea mtu unabeza hili ni labda haujui mpira vizuri