respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,557
- 3,835
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayeichezea klabu ya KRC Genk yaUbelgiji Mbwana Samatta usiku wa November 30 2016 ameingia kwenye headlines baada ya kufanikiwa kuiongoza timu yake ya Genkkupata ushindi dhidi ya Waasland-Beveren.
Samatta akiwa na KRC Genk katika uwanja wa ugenini amefanikiwa kufunga magoli mawili katika ushindi wa goli 3-1, Samatta alifunga goli la kwanza dakika ya 15 goli la pili dakika ya 42 kabla ya mnigeria Wilfred Ndindikufunga goli la tatu dakika ya 80.
Wenyeji wa mchezo huo Waasland-Beverenwalifanikiwa kupata goli la kufutia machozi dakika ya 89, kupitia kwa mchezaji wao Zinho Gano, huo ulikuwa ni mchezo wa Kombe laCroky.
Maoni Binafsi,
Tujifunze kuwa, kuna baadhi ya vipindi vigumu kwa Wachezaji wetu, anapofanya vibaya usiponde, Mpe moyo.
ALL THE BEST SAMAGOAL