Samatta agonga mbili timu yake ikishinda 3-1

respect wa boda

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
4,557
3,835
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayeichezea klabu ya KRC Genk yaUbelgiji Mbwana Samatta usiku wa November 30 2016 ameingia kwenye headlines baada ya kufanikiwa kuiongoza timu yake ya Genkkupata ushindi dhidi ya Waasland-Beveren.

Samatta akiwa na KRC Genk katika uwanja wa ugenini amefanikiwa kufunga magoli mawili katika ushindi wa goli 3-1, Samatta alifunga goli la kwanza dakika ya 15 goli la pili dakika ya 42 kabla ya mnigeria Wilfred Ndindikufunga goli la tatu dakika ya 80.

Wenyeji wa mchezo huo Waasland-Beverenwalifanikiwa kupata goli la kufutia machozi dakika ya 89, kupitia kwa mchezaji wao Zinho Gano, huo ulikuwa ni mchezo wa Kombe laCroky.

Maoni Binafsi,
Tujifunze kuwa, kuna baadhi ya vipindi vigumu kwa Wachezaji wetu, anapofanya vibaya usiponde, Mpe moyo.

ALL THE BEST SAMAGOAL
 
mechi kumi na 15 goli la tatu arud tu azam ajipange upya

kaleris mech 14 goli nane


Mkuu appoh...sioni tatizo ukizingatia hana mda mrefu pale genk,naimani siku zinavyoenda atazidi kuonyesha uhodari na bado umri unamruhusu pia...


Kuhusu kuja Azam fc pia ni sawa tu, lkn sio kigezo cha yeye eti kashuka kiwango, binafsi kama ataamua kwa hiyari yake kuachana na Genk na kurudi nyumbani kujiunga na Azam itapendeza pia, Bakhressa kama ameweza kuwanunua wachezaji wakubwa kutoka nje,makocha wa-espanyola kwa samatta atashindwa nini? Mbona easy tu....
 
Angalia dkk alizocheza uwanjani ukimcompare na Kaleris
2016-12-01_18.56.51.jpg
umemuona mwanamme karelis huyoo
 
Kwa mtazamo wangu Samagoal atakuja kuwa mchezaji tegemewa wa team ya Barcelona au Man united. Tumuombee na tuache roho mbaya type ya JPM
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom