Samantha Cole wewe kweli ni Mpigania haki za Watanzania.

Mbase1970

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
6,053
4,595
Kwa wale wanamfuatilia mwanadada niliyemtaja hapo, watakumbuka ni jinsi gani anapigania maslahi ya Taifa hili kuwashinda hata tunaowaita Makamanda. Samantha Cole kwa muda mrefu sana kawa mstari wa mbele kuwasakama hawa wezi wakubwa wa rasilimali za taifa letu.

Hapa chini tu nawawekea msumari wa mwisho aliupigilia katika jeneza la Mkurugenzi wa ACACIA ambaye leo kaomba kujiuzuru wadhifa wake.

Barua kwa Barrick Gold Chairman. J.L.Thornton, kutaka amfute kazi B.Gordon wizi na kashfa Acacia
 
Vipi kutoka trilion 400mpaka bilioni 700
Mmeshalipwa maana inatia huzuni sana kutoka noah kwa kila Mtanzania hadi kinywaji aina ya balimi
Sad kwa kweli
 
Vipi kutoka trilion 400mpaka bilioni 700
Mmeshalipwa maana inatia huzuni sana kutoka noah kwa kila Mtanzania hadi kinywaji aina ya balimi
Sad kwa kweli
Naona umeumia sana mkurugenzi wenu kujivua maana mlianza na kelele za kufungua kesi London. Na mimi ngoja nikuulize vipi kesi iliyofunguliwa London na MIGA inaendeleaje??? Toeni upofu hii nchi ni yetu siyo ya Mgufuli mnayemchukia. Magufuli atamaliza muda wake ataondoka, kwanini mnashindwa kuwa wazalendo kama rais wenu wa mioyo Lowasa??? Mnadhani Lowasa naMbowe wajinga kutopiga kelele kuhusu hawa masuala mnazidi kuwasikiliza wanafiki kina Zitto Kabwe na Lissu. Wakati mwingine tumieni akili zenu mlizopata bure kutoka kwa Mungu.
 
Kwa wale wanamfuatilia mwanadada niliyemtaja hapo, watakumbuka ni jinsi gani anapigania maslahi ya Taifa hili kuwashinda hata tunaowaita Makamanda. Samantha Cole kwa muda mrefu sana kawa mstari wa mbele kuwasakama hawa wezi wakubwa wa rasilimali za taifa letu.

Hapa chini tu nawawekea msumari wa mwisho aliupigilia katika jeneza la Mkurugenzi wa ACACIA ambaye leo kaomba kujiuzuru wadhifa wake.

Barua kwa Barrick Gold Chairman. J.L.Thornton, kutaka amfute kazi B.Gordon wizi na kashfa Acacia

Thank you for your kind words.
We will continue to fight CORRUPTION and FRAUD in our country.
AND we aim to follow Brad Gordon to Australia and report his corruption to the Australia Police and Anti-Corruption Authorities.
Same with Andrew Wray. Where he goes, we will follow. He will NOT rest.

LET EVERY PERSON WORKING IN OUR COUNTRY KNOW THAT THEY CAN NOT SUCCEED HERE AND RUN AWAY FREE MEN !! WE WILL CHASE AFTER THEM. THEY WILL NOT REST HAPPILY WITH "DIRTY MONEY" MADE IN OUR COUNTRY

PLEASE SHARE THIS

Back
Top Bottom