Samaki wenye sumu ya mionzi ya nyuklia waingia Dar

Wewe ndio umepotea kabisa unafikiri uchunguzi ukifanyika wakikuta zina mionzi watakuambia?watakupiga fix utulie.mambo yanaenda kimagambamagamba tu,hii ni TZ bwana.

Sasa tufanyaje mkuu? nadhani wadau walaji wa samaki na sisi tuchukue sampuli zetu tupeleke maabara huru kwa uchunguzi zaidi! maana hapa jibu lolote litakalotoka hatuwezi amini... Labda waseme wana sumu hivyo warudishwe wanakotoka!!
 
...cha muhimu ni kuachana kabisa na Japanese mackerel (jamii ya VIBUA) kwa sasa, hadi tutakapopata majibu ya sampuli.

Kama hujui kibua angalia picha
JapaneseMackerel2.jpg

www.schooner.co.jp/.../04/13/japanese-mackerel/
 
Japanese are very strictly on their regulations, hawana ujinga kama huu kabisa wa kusema kughushi or any cheating!! Ndio maana hata gari zao wanakuwekea kabisa grades. Wadanganyifu ni sisi watanzania. During that time huko Fukushima hata fishery yao ilikuwa closed!! Hii rumours ni majungu ya kibiashara tu, the guys follows all the proper laid procedures including taking samples to Tanzania Nuclear Agency. Kingine samaki kabla ya kutoka Japan, must first be certified by Japanese gover
https://www.jamiiforums.com/newreply.php?do=newreply&p=2279933
 
Back
Top Bottom