Samaki wenye sumu ya mionzi ya nyuklia waingia Dar

Kama ni kweli basi Muheshimiwa John Pombe Masolexi arudi tena kwenye ile past wizara yake.
 
Hawa jamaa wanatuletea samaki wa sumu si watatumaliza na hivi umeme hamna tukianza kuugua sijui huko hospitali patakuaje
 
Fear as suspect Japan fish enters Dar market
Monday, 25 July 2011 23:10


The Citizen Reporters
Dar es Salaam/Arusha.

The government has warned consumers in Dar es Salaam and elsewhere to be extra-careful when buying fish following reports of importation of the delicacy from Japan that might have been contaminated by radiation.A statement by the ministry of Health and Social Welfare said yesterday that samples of a seized consignment of the imported mackerel fish destined for Dar es Salaam
markets have been taken by the Tanzania Food and Drugs Authority (TFDA) for testing.

The fish is suspected to have been contaminated with radiation produced by Japanese nuclear plants that were damaged by an earthquake and tsunami last March.In Arusha, the Tanzania Atomic Energy Commission (Taec) confirmed yesterday that its experts were investigating the consignment feared to have been thus contaminated.

Taec’s acting director general Mr Firmin Banzi, told The Citizen that his commission’s officials in the Dar es Salaam sub-office would collect samples for testing.“I can’t say if the fish is contaminated or not. We are waiting for the samples to be collected from the ship,” he said, noting that Taec was mandated to screen all imported food.
Mr Banzi said health risks from radioactive material could be in the form of exposure to the dust generated during uranium mining or its transportation.

When inhaled, radon, a gas derived from uranium mines or emitted from explosions of nuclear stations, lodge in a person’s lungs, delivering a massive dose of alpha radiation to the sensitive lung tissue. The result is an extraordinarily high incidence of lung cancer, fibrosis of the lungs and other lung diseases, all of which take decades to become manifest, he said.

“If not controlled radioactive materials can be catastrophic”, he noted. He could not say when the investigations on the imported fish would be completed and either would he disclose the name of a ship that brought the consignment to the harbour.

And in Dar es Salaam, a statement signed by permanent secretary in the Ministry of Health and Social Welfare, Ms Blandina Nyoni, said 124.999 tonnes of fish suspected to have radioactive elements were imported by sea on July 18.

However, said the statement, on July 24, the government, in collaboration with TFDA and the police, seized 123.673 tonnes, indicating that at least 1.319 tonnes of the fish had already been transported upcountry or supplied in the city.The consignment was imported by the Alphakrust Ltd Company of Dar es Salaam from Kaneyama Corporation, a Japanese company based in Chiba, Japan.

The PS said the missing 1.3 tonnes are believed to have been transported to Morogoro municipality and Kilombero District and some other areas served by the Magogoni Ferry fish international market.“According to the information obtained from Alphakrust Ltd Company’s data base, some boxes of the fish were distributed in Dar and neighbouring Morogoro region,” reads part of the statement.

However, the Ministry confirmed that the consignment from Japan was legally cleared by Tanzania Revenue Authority (TRA) and approved according to TFDA procedures at the port upon its arrival on July 18.The consignment had the permit from the Japan Frozen Foods Inspection Corporation (JFFIC), which is under the Japanese ministry of Health, Labour and Welfare.

The “Mackerel” fish were processed December 2010 and its expiry date is June, 2012.The PS said her office received the information on the queried consignment on July 23 and it ordered for immediate measures to be taken.

“The Ministry was informed on the fish on July 23, and we responded on the same day ordering TFDA to block its sale pending the authority’s test,” reads the statement.The TFDA acting director general, Mr Hiiti Sillo told The Citizen his office has received an order from the ministry and that it was working around the clock to make sure the matter is sorted out.

He said TFDA was aware of the situation and it has already deployed its officers in various areas to locate the missing fish. “What I can say is that TFDA is going with tests as ordered by the ministry and we are working hard to bring everything back to normalcy,” said Mr Sillo.

The Dar es Salaam Special Zone police commander, Assistant Commissioner of Police (ACP) Suleiman Kova, said the police had no say on the matter but promised to work together with TFDA and the ministry if that would be deemed necessary.

He said it would be difficult for him to mention where the consignment was being conserved for the security reasons.

However, the Tanzania Bureau of Standards (TBS) director general, Mr Charles Ekelege could not respond on the matter, saying he was in the middle of an important meeting. According to a survey conducted by The Citizen at Feri Fish International a number of boxes containing ‘Mackerel’ fish were brought at the area on Sunday morning and were sold Sh51,000 each.

Reported by Florence Mugarula and Zephania Ubwani

 
This is a very serious matter.... I am just shocked how porous our country is kiasi cha kutokua macho kwenye hii kitu
 
Samaki wetu wazuri wa ziwa victoria wanawasafirisha nje na kutuachia mapanki, kama vile haitoshi wanatuletea samaki wenye sumu! Hivi kuna haja gan ya sisi kuagiza samaki nje ilihali tuna bahari na maziwa kibao? Huyu bwana Mkubwa haikufaa aitwe JK bali ilitakiwa aitwe KJ(kubwa jinga)!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Ila kweli sisi ni miafrika, I just don't understand Tanzania kuagiza samaki Japan, i thought it would be otherwise?
 
mie hata sielewi hv walioruhusu wamewaza nn. Ina maana watoto wao,wake zao na ndg zao hawatakuja kula samaki popote? Huu ubinafsi ipo siku utakurudi
 
Kama mjuuavyo tanzania ndio sehemu ya dampo la kumwagia bidhaa zilizoisha muda wake ama zinazokaribia muda wake
magazeti ya leo yote yanaelezea kuletwa kwa samaki wa mionzi kutokajapan ukizoma mwananchi utaona ni unafiki mtupu kusikia tfda wanachunguza samaki walioletwa kivipi

samaki hao wameingizwa kufuatana na sheria na kanuni na pg nu 4 inaonyesha kibali chao kutoka wizarana,bandarini na tfda...leo hii hao hao wahuni wa tfda wanaulizwa wadai wako kwenye mchakato wa kusimamisha usambazaji wa hii zi bidhaa...bado najiuliza kwa nini tuathirike tufe kwa ajili ya 10% za wahuni wa chache....je waliotoa kibali cha samaki hawa kuingizwa wanafanywaje???

Hakika imefika wakati watanzania wengi nimeamini wanaakufa si kwa mapenzi ya mungu kama wanavyosema kwenye ibada wengine wanauliwa na watu live kama hawa tfda jiulize mapresha ,shinikizo mangapi yanakuja kwa kula hawa samaki jiulize sangara wetu wamepanda bei wakisikia hili wanapaisha maradufu tutakula nini tusiokula nyama
leo hii supermarket zote zina hawa samaki ndugu zanguni huku wkaidai kusimamia kutosambazwa ...

Ee mungu tusaidie
 
Mi hii habari ndio imenishangaza sana, hadi samaki tunaagizia toka japan??dah ooh my luvd country, or my people!!
Sijajua bado mwisho wa hili taifa chini ya uongozi huu. Hembu fikiria tumeinasa bajeti ya wizara moja kupitisha bakuli
kwa idara zake. Je ni miaka mingapi rushwa za namna hii zinafanyika kupitisha bajeti ila wananchi hatujui??
je nni mabilioni mangapi yanafujwa baada ya bajeti ya wizara husika kupita kwa kufanya party 5 star hotels?

Hivi hii inshu ya Chenge na Takukuru unaona imekaa sawa kweli??barua yao ya mwanzo imemsafisha, twashangaa sasa eti Takukuru inaona Chenge ana tuhuma za kujibu, kweli inaingia akilini??

Haya sasa tushakula samaki wenye sumu ya kinyulia,then inabidi tunywe maziwa kusafisha damu, maziwa itabidi tuagize tena
toka Japan, tukishakunywa tutambiwa tena maziwa yana nyuklia, tutapona kweli??Hivi hii wizara angekuwapo Magufuli kweli
hawa samaki wangeingizwa bila kuchunguzwa??

Sasa angalia hii serikali ilivyo kichekesho, wale wavuvi haramu waliokamatwa na serikali, zaidi wa wavuvi 30 wameshatolewa
na hawana hatia na wanarudishwa kwao, sasa kwanini serikali imeingia gharama za kuwatunza jela zaidi ya mwaka ilhali hawana hatia, na hao tani za samaki zilivyokwapuliwa, zimeoza na bandari hawana hifadhi kuwatunza!! This is OUR LUVD COUNTRY TANZANIA.

Kipindi flani tuliambiwa Mbogamboga za majani toka mto msimbazi zina sumu kali coz maji yanavuja toka viwandani, tukashauriwa tusiziguse, tusubiri tamko la serikali, leo hii kipo wapi??ndio kwanza zinavunwa na zinauzwa mtaani vibaya mno!!

Hii ndio TANZANIA. NI ZAIDI YA JALALA.
 
hao tdfa wanapaswa kuchukuliwa hatua kali. Maana hii inatofauti gani na kulishwa sumu? Na adhari zake kwa vizazi?
 
Kama mimi ningekuwa Amiri jeshi mkuu, au angalau PM, ningeamuru kontena hizo zipelekwe sehemu kubwa iliyo wazi zimwagiwe petrol na kupigwa kiberiti kama vile zile silaha haramu sinazokusanywa kule Kigoma kutoka kwa raia au wakimbizi zinavyofanywaga! Lakini #~&%$£"@##!!!
 
Samaki wetu wazuri wa ziwa victoria wanawasafirisha nje na kutuachia mapanki, kama vile haitoshi wanatuletea samaki wenye sumu! Hivi kuna haja gan ya sisi kuagiza samaki nje ilihali tuna bahari na maziwa kibao? Huyu bwana Mkubwa haikufaa aitwe JK bali ilitakiwa aitwe KJ(kubwa jinga)!

Jamani kuagiza bidhaa nje, ni suala la soko huria, huwezi kumlazimisha au kumchagulia mfanyabiashara binafsi bidhaa ya kuagiza kutoka nje. Ili mradi ni bidhaa halali na taratibu za nchi husika zimefuatwa
 
hao tdfa wanapaswa kuchukuliwa hatua kali. Maana hii inatofauti gani na kulishwa sumu? Na adhari zake kwa vizazi?

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, : Kwa mujibu taarifa iliyopo kwenye Habari leo, ni kuwa TFDA hajihusishi na kupima mionzi kwenye vyakula, hiyo ni kazi ya Tume ya Taifa ya nguvu za atomic, ambao kwa mzigo huu inaonekana walisha clear na kutoa kibali. Hivyo TFDA waliruhusu baada ya kujiridhisha kuwa taasis nyingine ya serikali inayoshughulika na mionzi imeruhusu mzigo uingie.
 
Ila kweli sisi ni miafrika, I just don't understand Tanzania kuagiza samaki Japan, i thought it would be otherwise?

Ni kitu cha kushangaza sana lakini sijui kama tutapata majibu ya kuridhisha toka kwa wahusika katika sakata hili la Samaki walioingia nchini toka Japan, kama ilivyo kawaida ya hii Serikali iliyojaa wasanii.
 
Serikali ipo?tbs wanakazi gani nchi hii?vipi kuhusu watu wa bandari je ukaguzi ulifanyika kweli?tunaelekea wapi jamani?
 
Mbona hao samaki wamekuwa processed December 2010? nadhani ajali ilitokea March 11, 2011. I mean, where is the connection?
Hii habari ina professional flaws kubwa sana. Hao wataalam kwa nini wanaongea kama wanasiasa?? Shame on them all!!
BAK, hizo red highlights ulizoweka ni kujenga watu hofu, so far, habari nzima ni kama inaelea-elea tuu.. habari imejichanganya na inachanganya walengwa pia..
Its high time for responsible authorities to narrate the truth and communicate professionally on serious issues like this one..
Anyway, ni mawazo yangu tu..
 
Ivi kwa nini wizara isipige marufuku uagizaji wa samaki toka japan na visiwa vyake au ikiwezekana piga marufuku importation ya aina yoyote ya samaki till further notice!
 
Back
Top Bottom