Samaki waelea ufukweni Dar. Serikali yachunguza chanzo…

Hilo tumezoea kule ziwani, kuna kipindi samaki hasa sangara huwa wanaelea, ni kwenda kukamata tu unaenda na kitoweo nyumbani bila nyavu yaani. Wenyewe wanasema wanakuwa wamekosa hewa ya kutosha ndani ya maji ila kwa baharini sina experience.
 
😂😂😂😂 ila njaa mbaya sanaa,
Yaani kweli mtu unatetea hoja ya kuokota mizoga ya samaki uliyokuta imekufa bila sababu kwa kigezo cha mboga?, kwani lazima ule samaki?

Ukiona hivi huna tofauti na wale wanaofukua ng'ombe aliyezikwa abebe nyama...

Ndugu zanguni umaskini hauna huruma, upinge kwa nguvu zote, ikishindikana basi sio bahati yako,

Ila usiuhalalishe kwa namna hii... Ya nini Vipelege vikuue ndugu?????
Huo sio umaskini ni uroho.
 
Miradi ya madaraja ya New Salender jijini Dar es Salaam katika bahari na Busisi ziwa Victoria itembelewe na wataalamu wa hifadhi / mazingira na watoe ripoti kama inazingatia vigezo vya NEMC kuhifadhi mazingira na viumbe pamoja na bioanuai


Source : Bill Gates
 
Hao hata wewe utawala maana wanaenda kuuzwa kwa wapigakura
Naamini katika mazingira hao ni kwamba wamekufa,

Hivi kweli mtu unakuta samaki kafa mwenyewe unabeba ukalee???
Huku ni kuendekeza njaa kulikopitiliza,

unafika nyumbani na lijibesi lako unajifanya umetoka kununua samaki kumbe umeokotaaa, ukiua familia???
Eti familia imelazwa au imekufa(yote hatuombei yatokee) kisa pelege????
 
Hali Tete Sana Mpaka Sasa Hivi Haiwezekani Samaki Kufa
Siyo Kwa Idadi Hiyo Mara Moja. Hatari Na Nusu
Hao Wanaozoa Wasile

Ina wezekana na ni matokeo ya kawaida kuna kipindi samaki hukosa oxygen ya kutosha ndani ya maji hufa kwa wingi ingia google angalia
 
Serikal iko kmya subl madhara yajitokeze hapo ndy waanze kutaftana na kuanza kuleta siasa zao ktk maisha ya watu...hii nchi hovyo sana, hapo ilitakiwa pafanyiwe uchunguz wa kina, maana hiyo inaweza kuwa dalili mbaya kwa viumbe wa majini, mybe kuna mapandikiz ya sumu yalitegwa ktk maji na kuperekea maafa ya viumbe hao na pia inawezekana viumbe hao(samaki) wakawa bado na chembechembe za sumu ambazo znaweza kuwadhuru watumiaji,

Tunatakiwa kuwa waangalifu, ulafi utakuja kuwatokea puani....wakumbuke na lile la morogoro, watu walimiminika kuchota wese kumbe kuna balaa likawakuta, na baadae gumzo likazuka kuwa kuna uzembe wa askar kutojitokeza mapema kuzuia labda maisha yasingepotea kias kile.....watz tuache ulaf
Sasa waache kumfunga Mbowe na kutafuta namna ya kuzuia Maria Space wahangaike na dagaa ufukweni?

Hii kitu inaitwa Maria Space na Mjadala wa Katiba Mpya ni hatari kubwa kuliko habari ya hao dagaa
 
Kwani hakuna mabwana afyaeneo hilo waende wakawapime hao samaki na kutoa mwongozo kuwa wanafaa kuliwa au lah

Au tayari watu wameshachukua hatua mkononi mkono kwenda kinywani?
 
Kama kuna watu wanaandaa chakula kichafu ni mama ntilie, kuna siku nilimuona mmoja anaosha vyombo kwa kutumia maji ya mvua yanayotiririka chini.

Ni kweli Mkuu ,Wengi USafi ni Zero ,Maji wanayooshea vyombo hawabadilishi ,ni hayo hayo kuanzia asubuhi vyombo wanavyosuzia vibakuli vya supu mpaka usiku,maji yamejaa sabuni yupu! Muhudumu wa chakula ana toothpick anajichokonoa mdomoni anaishika shika akitoka hapo hanawi mikono anaenda moja kwa moja kukuhudumia!
 
Back
Top Bottom