Samaki waelea ufukweni Dar. Serikali yachunguza chanzo…

Vyura99tu

Senior Member
Jan 14, 2017
176
250
Sure bro. Sihalalishi watu kula vyakula visivyokua salama, ila natambua uwepo wa watanzania wenzetu wenye hali mbaya kiuchumi na njaa kali. Mtu ameshinda njaa siku nzima, na haelewi kama atapata chochote, then anakutana na hao samaki. Unadhani atafikiria mara mbili?

Kuna watu hawaijui njaa, hao ndio wanatoa kauli za kishujaa humu!
Hii kitu sio Hapa Tanzania tu.
Imetokea hata huko Amerika Tampa Florida. Chanzo ni kitu inaitwa kitaalamu 'red tide'
Unaweza kusoma andiko la
julian.mark@washington.com
Ya July 20,2021.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom