Samaki aina ya 'Salmon' kwa Kiswahili anaitwaje?

Hivi hawa samaki wanapatikana Afrika au ni Scandinavia hususani Norway?
kama hawako Afrika hakuwezi kuwa na jina lake kwa Kiswahili.
 
Thank you jamani. nimegugo nikapata anaitwa PAPA SAMAKI. acha nicheke,hahahaha!:smile-big:
asanteni sana. naona nitachukua hilo jibu la kamusi
 
....mmenifanya nicheke mpaka bosi kafikiri nina ugonjwa wa kifungilo.... hah ah ah ah ha ha ha ah samaki papa.. !!
 
nimepata mteja wa samaki hawa lakini sifahamu jina lao kwa kiswahili msaada please
msalimie mumeo Bujibuji mwambie mbona siku hizi haji tena Sinza Beach Kidimbwi?
Simpati kwenye voda yake naomba mawasiliano yake
 
Rusheni picha tuone kisha tutawaambia kama anaitwa mkundaji, chewa, changu mwekundu, koana n.k.
 
Bila shaka huku kwetu ni adimu
Nchi za Ulaya yaonekana ndo makazi yao hasa

nakumbuka tu kula grilled salmon nchi za watu huko
Niliwaenjoyyy

ikanifanya niwe mpenzi wa fish fillet and salad tangu hapo
 
Rusheni picha tuone kisha tutawaambia kama anaitwa mkundani, chewa, changu mwekundu, koana n.k.
9C2E233E-3285-40F3-88DE-B21090EFC8A6.jpeg

1CB3305C-047F-43D2-A803-402E06DB31C5.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom