Samaki wa mapambo wanauzwa bei nafuu

Will i.a.m

JF-Expert Member
May 24, 2012
347
49
[h=2][/h]
samaki wa mapambo wanauzwa ofisi ipo banana ukonga pembeni ya jengo jipya la aviation house
kuna aina kama
red
gap
gold
pure red
black more
white gap
sefin more
red sota
na wengine wengi kwa maelezo zaidi piga 0713969650 bei ni nafuu mnoo​
 
Kamanda asante kwa taarifa. Tuwekee dondoo za bei itafaa sana. Napenda aina fulani ya samaki wanaitwa kissers, kitaalamu wanajulikana kama Kissing gouramis, (Helostoma temminckii). Nihabarishe kama nao unao pia
 
ni cheki hapo nkwenye namba tufanye biashara nafuga hawa samaki toka 85 nina uzoefu wa aina nyingi lazima wapatikane
 
Kamanda asante kwa taarifa. Tuwekee dondoo za bei itafaa sana. Napenda aina fulani ya samaki wanaitwa kissers, kitaalamu wanajulikana kama Kissing gouramis, (Helostoma temminckii). Nihabarishe kama nao unao pia

wapooo
 
Hii biashara ni deal kubwa ulaya! Sema wanatakiwa wafike wakiwa wazima!
 
wale wa kwenda ulaya ni sichild kutoka maziwa kama tanganyika na nk delicate sana magonjwa kama fangus ysnawatesa kuwapata mpaka uwe na kibali hawa wangu hawasumbui
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom