Samaki wa Maghufuli washindwa kuuzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Samaki wa Maghufuli washindwa kuuzwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kaitaba, Nov 12, 2009.

 1. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Lile zoezi la kuuza samaki maalufu kama samaki wa Maghufuri, lililokuwa lifanyike leo, limeshindikana kutokana na kukosekana mizani ya kupimia hao samaki,

  Wizara imeomba pesa serikalini kwa ajili ya kununulia mizani hiyo, ambao kila mmoja unagharimu sh, 300,000/=, na magari ya kubebea hao samaki,
   
 2. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,437
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Sio kuuzwa bali kugawiwa bure kwa taasisi zilizoomba kupewa samaki hao
   
Loading...