Samaki wa Japan wanauzwa huku nyuma ya K-Net Cafe-Kawe

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
KWA WANAOPITA NYUMA YA HILI JENGO KUKIMBIA FOLEN MTAONA KUNA CANTER
MOJA LIMEJAZA MASAMAKI YAMEBANDIKWA KWENYE COVER YAKE AFCAST SIKUSOMA VIZURI LEBO YAKE
ALAFU WAMEANDIKA MADE IN TANZANIA HUKU WAMAM KWA VIJANA WAKIGOMBANIA

TULIPODADISI TUKAAMBIWA NI MOJA YA KALE KAMZIGO KA JAPAN NA KIMETOLEWA FASTA
KIMALIZIKE HUKU HUKU WAKIDAI WATU WA KAWE NA MBEZI BEACH AWAKUBAHATIKA KUPATA
ILE MIZIGO YA KWANZA..HATA HIVYO KWA MBELE KULIKUWA NA MAPOLISI WENYE BUNDUKI
WAWILI WAKILINDA SASA SIJUI WANALINDA NINI IKABDI TUKIMBIILIE KWANZA KWA MABWANA ZETU
(oFISINI) MLIOKARIBU EMBU TUJUZENI NIKWELI MADE IN TANZANIA .
 
Familia ya Rais wa awamu ya pili ndiyo iliyoanzisha kutuuzia condemned beer "stela artois" hatushangai serikali hii ikitulisha nuke contaminated kitoweo- tumeshindwa kujifunza kwa serikali ya awamu ya III iliyothubutu kuteketeza ngano mbovu. Tujiandae kulea vilema kama wa hiloshima na nagasaki. Shame upon the gvt.
 
Ufe mara mbili ulimkafu kama ulikunywaga stella artois sumu yake inakuondoa polepole anyway mungu sijui atuepushije
 
Mkuu kama umewahi kununua samaki wa hii kampuni kabla ya shida za japan makaratasi yao yote juu wameandika made in tanzania wakikuamsha ni sato,sangara,kipumu na wengineo sasa wa japan nao wanatuwekea hii sijui
amenikumbusha mbali sana kuna jamaa alipata hela za mawe akawa ameajiri watu arusha anatengeneza viatu vizuri mbaya
nina sample yake kama ujajivua gamba la tanzania niambie nikupitishie uone wachache walikuwa wananua hasa wazungu
yule bana nilipofika kariako nilimuhangaikia sana kupata chumba tukapata cha laki 2 kwa mwezi akahisi anaibiwa alipokuja akahakikisha akatoa za mwaka ...nikampeleka kwa jamaa mmoja mjasiriamali mshauri nasaha..akamwelekeza avipige made in uk,china, nakwambia kila wiki anashusha zigo lenye akili anavyouza na kia baada ya miezi sita napewa 5pairs free ...so kuna watu wakiandikiwa made in tanzania wanafurahia na wengine tukiona made n china mashaalaah tunajua mkombozi kaingia
lakini ukweli vinatokea pale kimandolu tena amechukua nyumba ya mtu anatengenezea huko na vijana wake vvikikaribia chalinze vinaitwa made in uk ....
 
Ufe mara mbili ulimkafu kama ulikunywaga stella artois sumu yake inakuondoa polepole anyway mungu sijui atuepushije
Usinipandishe presha mtu wangu,za mwaka 90 zitakuwa bado zinani kill gently tu?
 
Kuna thread nimeiona imenukuhu kauli ya Serikali kuwa itahakikisha hao samaki waliopo sokoni wanapatikana wote.
Sasa hao waliopo Kawe sijui bado hawajastukiwa?!!
 
Daah, wale wa Magufuli niliwaonja, watamu sana! Hao wenye mionzi nitawatafuta tu nionje walau wawili!
 
Sio hao samaki tu TZ sasa hivi vitu vingi vime expire
mfano chunguza mabox mengi ya juice,dawa,kwa ujumla bidhaa nyingi
sana wengine huwa wana update kwa mihuri yao!

mkuu wala sio mbali nenda pale imalaseko posta
nilinunua mkate nikafika nyumbani nikakuta wameandika unaexpire wiki mojailiopita nilipoingia nikakuta bado mienzake inasubiri wa kufa nayo
nikawarudishia sikujua kama walienda kubadilisha lebo ama lah ...yaani vifo vingi tanzania si mapenzi ya Mungu bali Tamaa za watu
 
Kuna thread nimeiona imenukuhu kauli ya Serikali kuwa itahakikisha hao samaki waliopo sokoni wanapatikana wote.
Sasa hao waliopo Kawe sijui bado hawajastukiwa?!!
ndbalema nilivyoona leo kuna dalili samakiwote wakauzika ila inaonekana lile zigo lilikuwa linaelekeapande ya bagamoyo..kama sijakosea wakaamua kuikumbuka kawe na mbezi beach ili wawaachie kale kabahari maskini watu wenyewe wachache sijui wanataka kumaliza wangapi..embu mkurugenzi tuabalishe na nakwambia walahi mama yangu mwanamke nilivyowaona tu niwa tamu sijui ukila na mbaya zaidi watakachofanya wanakupata kwenye
kukaanga akika uoni mionzi yote inafia tumboni
 
Wahusika wanajua kinachoendelea hayo ya askari na bunduki ni kiini macho tu,kama wanajali kweli afya za watu huu mzigo ungebakia melini na kurudi ulikotoka,wanasubiri makelele yapungue,waendelee na biashara yao ya kuuza sumu.
 
Kwa hili Serikali imekosea na inawabidi wachukue hatua kali sana kwa wote waliohusika kwa namna moja au nyingine katika kuhakikisha samaki hao wanaingia Tanzania.

Nashauri washitakiwe kwa kesi ya mauaji
 
Sio hao samaki tu TZ sasa hivi vitu vingi vime expire
mfano chunguza mabox mengi ya juice,dawa,kwa ujumla bidhaa nyingi
sana wengine huwa wana update kwa mihuri yao!
Na kama ni mywaji wa bia za kopo hasa Castle Lager inabidi uwe makini sana, nyingi zinaexpire zikiwa zipo kwenye kaunta za bar. nina uhakika na ushahidi wa hili.
Imenilazimu nirudi kwenye mibia ya chupa.
 
Samaki toka japani.......tena wenye mionzi ya nuclear.... then mtu akitaka kusema kule bungeni wanamtoa nje.... kweli serikali yetu imejipanga kutuua.
 
Back
Top Bottom