Samaki wa ajabu jamani huyooooooooooo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,266
33,039
148644_456539687740416_1237053329_n.jpg

Leptocephalus - The Transparent Fish
 
Wanadamu tungelikuwa hivi, hakika tungalijua huyu wa Kigogo na huyu wa Masaki...maana kila kitu tumboni kingelikuwa dhahiri...
 
..anaonekana mtamu sana,huku kwetu mwanakwerekwe wanapatikana kweli hawa...?? ngoja nienda kuwasaka...
 
Wanadamu tungelikuwa hivi, hakika tungalijua huyu wa Kigogo na huyu wa Masaki...maana kila kitu tumboni kingelikuwa dhahiri...

Mkuu kwa huyu samaki tumboni hukuonekani ni transparent....sasa udhahiri wa tumbo la vigogo utatoka wapi?
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom