Samaki samaki

futikamba

JF-Expert Member
Jan 18, 2010
243
13
Nipo hapa mlimani city samaki & kiasi f'lani leo akili yangu imefanya kazi kidogo yakulinganisha. Nimegundua kuwa biashara kweli ni creativity, na huyu jiran yetu wa chicken hut ana akili kiasi f'lani sana. Since ameona mzungu masai anauza samaki 2 yeye akaleta kuku kwa pembeni. Nafikiri ingependeza kama yule jamaa wa mwisho pale angeuza mdudu, biashara ingenoga sana asee.
 
futikamba

JF-Expert Member
Jan 18, 2010
243
13
so whats the rationale of this post to JF members?

Nachangamsha jamvi... Huenda ukawa na mtaji wa kumng'oa yule delicious (sijui!!), ukawekz wewe mbuzi katoliki na ukafanya biashara kubwa sana. Ni wazo 2..
 
Rejao

JF-Expert Member
May 4, 2010
9,236
4,041
Hahah..hapo samaki kwa maduu tu!
Mwanamume mwenye akili hawezi kukaa hapo!
 
Bigirita

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
15,866
7,161
Unajua strategy ni strategy tu!!
Kama samaki samaki wahudumu ni vi-portable, wewe wa pembeni unaweka vitu vya hivi!!!
jennifer_lopez_butt1.jpg
 
Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,436
1,579
Nipo hapa mlimani city samaki & kiasi f'lani leo akili yangu imefanya kazi kidogo yakulinganisha. Nimegundua kuwa biashara kweli ni creativity, na huyu jiran yetu wa chicken hut ana akili kiasi f'lani sana. Since ameona mzungu masai anauza samaki 2 yeye akaleta kuku kwa pembeni. Nafikiri ingependeza kama yule jamaa wa mwisho pale angeuza mdudu, biashara ingenoga sana asee.

Kwa nini wewe usiweke huyo mdudu hapo pembeni ili ufaidike ma samaki samaki.
 
futikamba

JF-Expert Member
Jan 18, 2010
243
13
Wanaume walio wengi hapo ni watoto wa mama! Jaribu kuangalia sura zao! Au wale ambao ndio wanakuja mjini kwa mara ya kwanza!
Lol!!! You might be right... Kwikwikwi.... Ngoja niwachunguze.
 
Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,709
8,801
Nipo hapa mlimani city samaki & kiasi f'lani leo akili yangu imefanya kazi kidogo yakulinganisha. Nimegundua kuwa biashara kweli ni creativity, na huyu jiran yetu wa chicken hut ana akili kiasi f'lani sana. Since ameona mzungu masai anauza samaki 2 yeye akaleta kuku kwa pembeni. Nafikiri ingependeza kama yule jamaa wa mwisho pale angeuza mdudu, biashara ingenoga sana asee.

Duh!
so huyo hapo ni SAMAKI SAMAKI,
Jirani CHICKEN HUT.
Ushahuri jamaa angeanzisha MDUDU(pork aka kitimoto aka NOAH )
Vipi nikianzisha PWEZA & NGISI , Italipa? au na wenyewe ni SAMAKI?
Vipi nyama pori na menu za ASILI? Watakula kweli?
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,133
17,099
so whats the rationale of this post to jf members?

omba akuandikie kwa kiingereza bana sema ujaelewa alichoandika acha kuuliza upupu bana!!!ngoja niende mliman city mie kula wadudu
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,133
17,099
duh!
So huyo hapo ni samaki samaki,
jirani chicken hut.
Ushahuri jamaa angeanzisha mdudu(pork aka kitimoto aka noah )
vipi nikianzisha pweza & ngisi , italipa? Au na wenyewe ni samaki?
Vipi nyama pori na menu za asili? Watakula kweli?

kuna jiran yangu huku mbezi beach anauza konokono vipi mkuu itaipa huko maana soko la wachina pale kawe lote linaamia huko
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

4 Reactions
Reply
Top Bottom