Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 3,906
- 6,693
Supu yake inaongeza nguvu za kiumee
We sema kweli? Ni samaki gani kwanza huyo?Japo paka anapenda samaki lakini ukimrushia hili lidude ataruka mita kama 2 na ataroweka
Hamfikii huyuSupu yake inaongeza nguvu za kiumeeView attachment 1710306
Samaki anatishaJapo paka anapenda samaki lakini ukimrushia hili lidude ataruka mita kama 2 na ataroweka
Nadhani huyu walichanganya DNA ya yule wa kwenye chai jaba na samakiSupu yake inaongeza nguvu za kiumeeView attachment 1710306
ChattleWe sema kweli? Ni samaki gani kwanza huyo?
Heavely Father, Forgive Thee.
Anaitwa blobish (sina uhakika na spelling) wavuvi watanisaidiaWe sema kweli? Ni samaki gani kwanza huyo?
Pweza bado sana!Anaongeza nguvu zetu zile
Aro we!
Kudadek kichwa kama beluga
Fent ford
Burigi damHeavely Father, Forgive Thee.
Hawa samaki wanatokea chato kwenye fukwe za Lake Victoria?