124 Ali
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 7,802
- 5,494
ukitaka kijua kama ni fix fikiria kihivi.Habari za hivi punde: Samaki mwenye jinsia ya kike kavuliwa bahari ya hindi.
Ukisikia baharini kuna vingi ndio hivi;
View attachment 650128
View attachment 650129
1.samaki jike ananyonyesha lazima mtoto afanane nae ukiungalia mdomo wa samaki na zile chuchu sijui ananyonyaje.
2.samaki na maziwa wapi na wapi .
3 sion infusion ya ngozi na magamba hapo kati lazima atakuwa na vidonda maungioni.
4 sijui ana regulate joto vipi maana mwili wa kati una joto tofauti na kichwa na kiuno hypothemia itahusika lazima afe kwa baridi tu