Akili Pesa JF-Expert Member Jun 18, 2014 616 854 Nov 4, 2017 #1 Wanabodi naomba kujua SAMAKI MDOGO kwa kiingereza anaitwaje? Watu wa ngeli twende sawa hpo tafadhali
Dragoon JF-Expert Member Nov 24, 2013 7,012 8,126 Nov 4, 2017 #3 labda ndio small fish. Ila kwa uelewa wangu samaki ni samaki tu, awe mdogo au mkubwa bado ataitwa samaki. kwa hiyo hata kingereza ni fish tu.
labda ndio small fish. Ila kwa uelewa wangu samaki ni samaki tu, awe mdogo au mkubwa bado ataitwa samaki. kwa hiyo hata kingereza ni fish tu.
Bizz_sam JF-Expert Member Oct 16, 2015 291 131 Nov 4, 2017 #4 Labda ungeenda moja kwa moja kwa Aina ya samaki husika Ndipo majina tofauti yanakuja. Lakini samaki ni 'fish' general name
Labda ungeenda moja kwa moja kwa Aina ya samaki husika Ndipo majina tofauti yanakuja. Lakini samaki ni 'fish' general name
Horseshoe Arch JF-Expert Member Aug 10, 2009 13,139 12,284 Nov 4, 2017 #6 Vice Fish yaani makamu samaki