Samaki asiyegeuzwa...

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Ili kuondoa dhana ya kusema sharti umgeuze, unamlia hapohapo kwa kumnyofoa nyofoa

samaki.jpg dog.png
Picha hizi zimekujia kwa hisani ya Bofloooooo
 
Hivi ukila samaki unamgeuza saa ngapi jamani? Ukimaliza kipande cha juu toa mfupa/mwiba wa kati na uendelee kufaidi pande lililosalia.

Ila hii style ya leo ya kumuweka juu juu tena!
 
aiseeee babaangu mi napenda kazi ya kupara samaki,,, bofloo wewe unapenda kazi gani??? Miwa au
 
Back
Top Bottom