Samahani ya mkuu hutoka kwa vitendo

kandawe

JF-Expert Member
Jun 24, 2013
1,137
810
Wanabodi,
Heshima kwenu...
Kwa tunayoyaona yakiendelea kwetu,ni dhahiri kabisa yanaleta sintofahamu katikati yetu na ni kweli ni kama sasa imebaki mwaga mboga nimwage ugali.

Mh mkuu wa mkoa wa Dar kaingia kwenye tuhuma ambazo sasa zinaendelea kuwa nyingi na hadi zinachosha kuzisikia, maana zimekuwa nyingi na hizi za karibuni pale Clouds TV nusu zimetoka kwenye tuhuma maana upande mmjoa umeshatoa maelezo na kuhakikishia umma wa Tanzania kuwa ni za kweli,nmesema nusu tuhuma maana upande wa pili yaani mtuhumiwa hajasema lolote iwe kukiri au kukana.

Binafsi nilifikiria kuwa mteuzi wa mkuu wetu wa mkoa angeangalia jinsi ya kuliamua na kwa vile ni kweli hapangiwi na MTU YEYOTE katika MAAMZI yake ni sawa.

Kilichonifanya niandike ni jinzi ambavyo mwenye Tanzania alivyozitolea hitimisho tuhuma hizo zote ambazo kweli ni UDAKU,kuutangazia umma wa Tanzania kwa staili aliyofanya nafikiri si tu alikuwa SAWA katika nafsi yake bali alitakiwa kutafari na sikuona ulazima wa kulitolea majibu siku hiyo maana alienda tu kuzindua ujenzi wa barabara za juu,angwewza tu kulinyamazia na kulifanyia kazi kwa undani zaidi ili hata kama hapangiwi lakini akumbuke kuwa anaongoza watanzania ambao wana mawazo tofauti.

Si busara sana kuwapuuzia tu wanaoendelea kupiga kelele na matamko ya kila aina.

Mkuu kukosea si jambo la ajabu,lakini anaweza kuomba msamaha kwa vitendo.

simaanishi kukubaliana na watanzania wanaoshinikiza mchapa kazi afutwe kazi,yaweza kuwa ana uwezo mkubwa zaidi wa kazi nyingine zaidi ya hiyo aliyopewa.

Utawala bora ni majadiliano na masikilizano na baba kukosea si jambo geni anaweza kuomba msamaha kwa watoto kiaina.

Baba wa Tanzania hujafanya kitu kigeni kukosea unaweza kusawazisha kwa kuomba msamaha kivitendo.
 
Hizo tuhuma nyingi ni zipi kama sio nyie kuzitengeneza????

Juzi afadhali mmeumbuliwa mmebaki kujikanyaga huko
 
Hizo tuhuma nyingi ni zipi kama sio nyie kuzitengeneza????

Juzi afadhali mmeumbuliwa mmebaki kujikanyaga huko
Nyinyi na huyu RC ndio mnafanya huu utawala uonekane ni wa hovyo hovyo.

Kukaa chini ukatulia ukiwa umejinyea unaficha aibu.
 
Ataomba msamaha wapi na kwa nani? wakati amepigwa ban kwenye vyombo vyote vya habari!

Labda atatumia instagram page yake
 
Sasa hivi hawaruhusiwi kuandika chochote kuhusu Makonda kwa hiyo hata akiwanyoosha wataugulia maumivu kimya kimya.


Makonda wanyoooooshe vizuri sasa
 
Hizo tuhuma nyingi ni zipi kama sio nyie kuzitengeneza????

Juzi afadhali mmeumbuliwa mmebaki kujikanyaga huko
Hata za kutengeneza zikishaitwa tuhuma hujibiwa ama kwa kukubari au kukanusha
na ukisoma vizuri nilimuongelea mwenye Tanzania ambaye ndiye mamlaka ya uteuzi.
 
Sasa hivi hawaruhusiwi kuandika chochote kuhusu Makonda kwa hiyo hata akiwanyoosha wataugulia maumivu kimya kimya.


Makonda wanyoooooshe vizuri sasa
Yaani wewe dada nakutamani ungekuwa mchepuko wangu haki ya nani ningekupigia hasira mpaka unyookeeee! Huto tu-miguu kama spoku za baiskeli ningehakikisha natutanua mpaka tunyofoke!!
 
Back
Top Bottom