Mkopo wa elimu ya juu kwa waliopita Diploma

Lishoun

New Member
Jul 8, 2020
1
0
Samahani wakuu,

Naomba kuuliza hivi: Kwa mfano ulienda chuo tu bila kupitia Kidato cha 5 na 6; unaweza kupata mkopo?

Na mkopo hutolewa kwa ngazi ya degree tu au?

Natanguliza shukrani
 
Mkopo hautolewi kwa ubaguzi wa form 6 na diploma, unatolewa kwa ubaguzi wa kitu kinakwa merit system na clusters
 
Samahani wakuu,

Naomba kuuliza hivi: Kwa mfano ulienda chuo tu bila kupitia 5 'na 6; unaweza kupata mkopo? Na mkopo hutolewa kwa ngazi ya degree tu au?

Natanguliza shukrani
Omba mungu mambo yakuendee fresh hayo mambo ya 6 na diploma achananayo..
Kwa kuwa unavigezo vya kuomba mkopo we omba..
 
Back
Top Bottom