Samahani wadau ningependa kujua faida za nyanya kwa wanawake?!Msaada plz kwa anaejua

Unaweza itumia Kama scrub ya uso,inasaidia Sana kung'arisha ngozi.

Matumizi.
Unachukua nyanya iliyoiva vizur unaiosha then unaikata katikati, unachukua kipande chako unakichovya kwenye brown sugar, unaanza kujisugua pole pole usoni in circular motion...... Ile sukari itayeyuka unaendelea kujisugua mpaka kipande nacho kinaisha unakaa kidogo yale maji maji yakikauka Unaweza kunawa na maji masafi ya kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani sana
 
Asante nimejifunza kitu, nilikua natafuta scrub naturally, je siwezi kutumia asali badala ya sukari?
 
Nasikia inasaidia kubana K nenda kwa original east ni acc ya Mange nasikia.sasa zimeshapita km 100 uibane na nyaya kweli?
 
Back
Top Bottom