Samahani naomba kujuzwa utaratibu wa malipo Youtube

nkanziga

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
674
1,077
Samahanini. Naomba kuuliza ili youtube waweze kuanza kukulipa, inatakiwa uwe na channel yenye subscribers wangapi? Na unalipwa ukiwa na viewers wangapi?
 
Hivi ofisi kuu ya you tube si iko new york mkabala na Google mbele kidogo na facebook au nimeota
 
Back
Top Bottom