Mchokoo JF-Expert Member Jul 28, 2015 1,179 1,579 Dec 25, 2015 #1 Wakuu nadhani huyu jammaa alikuwa bonge la msanii, sikutegemea iwe kimya hivi. Alisafiri au aliacha? Wajuzi naomba msaada!
Wakuu nadhani huyu jammaa alikuwa bonge la msanii, sikutegemea iwe kimya hivi. Alisafiri au aliacha? Wajuzi naomba msaada!
M Molembe JF-Expert Member Dec 25, 2012 9,898 11,745 Dec 25, 2015 #3 Alishuka kwenye gari akaanza kutembea kwa mguu na kulivyo mbali mpaka sasa hajafika.
Mchokoo JF-Expert Member Jul 28, 2015 1,179 1,579 Dec 25, 2015 Thread starter #4 Ndomana nikasema yule wa nimechoka kupiga honi pipipi. Nadhani ulielewa!
KAFA.cOm JF-Expert Member Jun 22, 2013 1,301 739 Dec 25, 2015 #5 Marlow nasikia ni usalama wa taifa saa hv
Mpigamiti Member Jul 12, 2015 86 33 Dec 25, 2015 #6 KAFA.cOm said: Marlow nasikia ni usalama wa taifa saa hv Click to expand... Wale wa kijitonyama au?
Shida na raha JF-Expert Member Aug 8, 2014 3,773 3,471 Dec 25, 2015 #8 Mchokoo said: Wakuu nadhani huyu jammaa alikuwa bonge la msanii, sikutegemea iwe kimya hivi. Alisafiri au aliacha? Wajuzi naomba msaada! Click to expand... Marow ni msanii nchi gani?
Mchokoo said: Wakuu nadhani huyu jammaa alikuwa bonge la msanii, sikutegemea iwe kimya hivi. Alisafiri au aliacha? Wajuzi naomba msaada! Click to expand... Marow ni msanii nchi gani?
Johnny Sins JF-Expert Member Nov 4, 2019 2,537 3,845 Mar 29, 2020 #10 aliuza gari baada ya kuchoka kupiga honi pi pi pi
katomailegero Senior Member Nov 11, 2016 156 186 Mar 29, 2020 #11 Jamani nacheka na coment...tatizo pipi Alioa dada yangu ndio mwanzo kupiiizi. Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani nacheka na coment...tatizo pipi Alioa dada yangu ndio mwanzo kupiiizi. Sent using Jamii Forums mobile app