samahan kwa kuchelewa

Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
12,712
19,840
aise nilikuwa wapi sijui kwenye giza coz nilikuwa na miss some matters ya msingi kutoka jF
 
asanten sana ma great thinkerz wa humu coz nimependa maada za humu sio za kitoto kama mitandao mingne ya kijamii.aisee nimeipenda sana hii forum
 
Kusema ukweli Upigaji wako wa hodi (Kichwa cha habari) speaks more. Karibu sana Great Thinker!
 
Chama gani ndugu!?
Ooh! Sorry, karibu sana bwana. Hapa ndo jF. Usiwe na hasira humu.
Sote ni ndugu.
Amani iwe nawe...
 
Back
Top Bottom