Billie JF-Expert Member Aug 13, 2011 12,720 19,860 Sep 15, 2011 #1 aise nilikuwa wapi sijui kwenye giza coz nilikuwa na miss some matters ya msingi kutoka jF
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,701 Sep 15, 2011 #6 Hujachelewa sana ndio kwanza tunaanza!
Billie JF-Expert Member Aug 13, 2011 12,720 19,860 Sep 18, 2011 Thread starter #8 asanten sana ma great thinkerz wa humu coz nimependa maada za humu sio za kitoto kama mitandao mingne ya kijamii.aisee nimeipenda sana hii forum
asanten sana ma great thinkerz wa humu coz nimependa maada za humu sio za kitoto kama mitandao mingne ya kijamii.aisee nimeipenda sana hii forum
MwanajamiiOne Platinum Member Jul 24, 2008 10,470 6,562 Sep 18, 2011 #9 Kusema ukweli Upigaji wako wa hodi (Kichwa cha habari) speaks more. Karibu sana Great Thinker!
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Apr 22, 2011 10,707 5,664 Sep 19, 2011 #10 Aisee karibu sana mkuu bado hujachelewa!
mikatabafeki JF-Expert Member Dec 29, 2010 12,772 4,641 Sep 19, 2011 #11 karibu sna umecheleeewa mno mana umepitwa na mengi,wanaosema hujachelewa ni waongo
Babkey JF-Expert Member Dec 10, 2010 4,834 3,655 Sep 19, 2011 #12 Chama gani ndugu!? Ooh! Sorry, karibu sana bwana. Hapa ndo jF. Usiwe na hasira humu. Sote ni ndugu. Amani iwe nawe...
Chama gani ndugu!? Ooh! Sorry, karibu sana bwana. Hapa ndo jF. Usiwe na hasira humu. Sote ni ndugu. Amani iwe nawe...
Billie JF-Expert Member Aug 13, 2011 12,720 19,860 Sep 30, 2011 Thread starter #14 Babkey said: Chama gani ndugu!? Ooh! Sorry, karibu sana bwana. Hapa ndo jF. Usiwe na hasira humu. Sote ni ndugu. Amani iwe nawe... Click to expand... iwe pia nawe
Babkey said: Chama gani ndugu!? Ooh! Sorry, karibu sana bwana. Hapa ndo jF. Usiwe na hasira humu. Sote ni ndugu. Amani iwe nawe... Click to expand... iwe pia nawe
feis buku JF-Expert Member Aug 29, 2011 2,342 676 Sep 30, 2011 #15 mwaya hujachelewa! ndo kwaanza tumeanza!karibu
Cantalisia JF-Expert Member Sep 26, 2011 5,222 2,925 Sep 30, 2011 #16 Karibu sana utafaidi ulivyokuta na vijavyo!