Samahan jf docter. Msaada kwa tatizo hili kubwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Samahan jf docter. Msaada kwa tatizo hili kubwa

Discussion in 'JF Doctor' started by beltomaiko, Sep 10, 2012.

 1. b

  beltomaiko Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Samahan docter. Kunarafiki yangu alikutana na tatizo la kuto mwaga shahawa na uume kutokua na nguvu ambalo lilimnyima raha kiasi cha kukata tamaa na maisha. Alieleza; yeye ni mvulana mwenye miaka 22. Siku moja alipanga kukutana na rafiki yake wa kike kwa mara ya kwanza walipofika walianza kama kawaida lakini msichana akachoka kabla hata mwanaume hajatoa chochote. Yule dada akamshangaa sana na kumweleza akatafute ushauri wa dactar. Kwa uzoefu wa yule msichana anadai kwamba ni kawaida kwa mwanaume kumwaga au kutoa hata majimaji hata kabla ya kufanya kile kitendo. Kitu ambacho mwanaume hakija wahi kutokea. Maelezo haya ya uyu dada yakaendelea kumtia wasiwasi. Mvulana yeye anasema aliweza kumwingilia kimwili lkn baada ya msichana kuchoka bila mafanikio yoyote akaamua aache. Walivo jaribu tena kwa mara ya pili uume haukusimama tena.
  Anasema yeye alisha wahi kulala na mwanamke na akatoa shahawa. Aliendelea tena akasema kuna siku alikua akiongea kwa simu na rafiki yake uume ukawa unasimama waliongea sana kwa muda mrefu huku bado kasimamisha bila kumwaga au hata majimaji. Akasema baada ya kumaliza kuongea alianza kuhisi mishipa ya karibia na gall blader zina uma sana. Sina uhakika sana ni mishipa ip lakini alivo nieleza nilihis kama ni ile mirija ambayo iko kama coil ambayo inahifadhi shahawa {testosteron}
  alisema tena alisha wahi kukutana tena na dada mwingine aka mwaga lakini kwa muda mrefu sana na baada ya hapo akaumwa tena sehemu zilezile karibia na hiz nyonga. Akasema lakini baada ya masaa machache haskii tena maumivu. Anasema zikisha anza kuuma penis haisimami tena mpaka ziache kuuma.
  Nilimuuliza ukikojoa labda unasikia pain? Aka sema hapana. Yeye anasema uume wake hausimami ukawa mgumu sana kitu ambacho kila msichana anaelala nae anamuuliza anashida gani au hajarizishwa vizur? Sasa docter kwa ushaur wako naomba msaada. Ili nieze kumweleza.
   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  Shughuli!
  Ana miaka 22, huyo msichana anaemuambia kwa uzoefu wake huwa inakuwa namnaganivipi, yeye ana miaka mingapi ya uzoefu?
  Hamjamalizia kukua kiakili,mnakazania kukua kimwili. Muambie amwage, anyunyize, ama alete mafuriko; kuna ukimwi asiusahau.
   
 3. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Mpe pole mwambie akamuone dr kwa maelezo zaidi....
   
 4. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  nimeishia kucheka tu...kids junction
   
Loading...