Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The best presenter wa uchaguzi Tanzania
kuna kipindi alikuwa anaripoti kampeni za ccm mlimponda sana humu leo hii ndio mnamuona the best
Anajitahidi. but ugomvi wangu ni ITV kuipendelea chadema. tht's why nitkasema ITv ibadili jina ianze kuitwa chadema Tv, coz baadhi ya watangazi wake wako nje ya maadili ya kazi na wanachokifanya si sahihi. sijui boss wao ndo kawatuma au ni kwa matakwa yao. ona huyu Mburula
MENGELENI KWETU... Hyo id pongezi mkuusam mahela upo vizuri sana..
Kwa uchaguzi huu ulivyo ureport u
deserve a bonus.
Many congratulations from my wife.
Aiseeeee Juma Duni haya ameyapa jina 'mahaba'..Many congratulations from my wife.
Ngwamba huyo jamaa
Sam Mahela si wakupongezwa ni kama ametumwa kuchochea. Unaripoti mabaya tu kuchochea sehemu zingine. Nakumbuka hapa Arusha ile Diaspora ya Marekani
sikumbuki jina kuna mwanafunzi alimwuliza mwakilishi wa CNN kuwa kwa kuripoti matukio na dhiki za Afrika mnafaidika nini. Akamweleza kuwa kwa maoni yake ni kuchochea machafuko namekuidhalilisha Afrika. Mtoto huyu maana ilikuwa siku ya watoto Wa shule akaungwa mono na Prof. ni mama Mmarekani alkuwa ametokea Sokoine Uni. Morogoro akaunga mkono. Mwakilishi Wa CNN alijibu mie natumwa sina la kufanya ingawa kweli kwa kuripoti tunaongezea machafuko. Ndio maana nasema Sam Mahela unatengeza machafuko na ujue Mungu atakushughulikia SIO MWINGINE. Mbona hujaenda kuwahoji viongozi Wa ukawa KWA NINI WAFUASI WAO WANACHOMA OFISI ZA CHAMA MAHAKAMA BARABARA ZIMEKOSA NINI. Ningemwona Sam Mahela kama anachungu au ni mahiri katika Kazi yake.
Wenzako wamekesha wakipiga kazi usiku kucha kutujuza wewe umekalia kulia kulia kwenye key pads na kuwaita mburula.
Huyu kijana anajitahidi kwa kweli. Amenifanya niangalie zaidi ITV. Anakuletea kitu live, penye kukimbia anakimbia hata kwe mabomu. Yupo safi.
Nakuombea Mungu akuinue..
kuna kipindi alikuwa anaripoti kampeni za ccm mlimponda sana humu leo hii ndio mnamuona the best
Huyu kijana anajitahidi kwa kweli. Amenifanya niangalie zaidi ITV. Anakuletea kitu live, penye kukimbia anakimbia hata kwe mabomu. Yupo safi.
Nakuombea Mungu akuinue..