Sam Mahela pongezi kwako, hongera kwa ITV pia

Big up to Sam mahela , spencer lameck and millardayo.com for sure you deserve the best
 
Anajitahidi. but ugomvi wangu ni ITV kuipendelea chadema. tht's why nitkasema ITv ibadili jina ianze kuitwa chadema Tv, coz baadhi ya watangazi wake wako nje ya maadili ya kazi na wanachokifanya si sahihi. sijui boss wao ndo kawatuma au ni kwa matakwa yao. ona huyu Mburula

Wenzako wamekesha wakipiga kazi usiku kucha kutujuza wewe umekalia kulia kulia kwenye key pads na kuwaita mburula.
 
Nami nampongeza sana huyu kijana..alinikosha sana alipo muhoji kamanda kova jana...na alinichekesha sana alipo report vurugu za ubungo...duu huyu jamaa ni habari nyingine kabisa....
 
Azam wao wako kibitoz bitoz zaidi.....kimayai mayai....suti na kujiremba kwa wingi.....kidigitali I mean.....ingawa yule dada wa Arusha alikuwa akijitahiditahidi! Ilimradi ITV na Azam TWO wametupa ladha tofautitofauti za coverage ya Uchaguzi...Hongera zao wote kwakweli!
 
Amejitahidi sana naona wakuu wake wameona uzuri wa kazi yake: Classic hasa wakati anaripoti mabomu ya Ubungo . Tanzania tuna waandishi wazuri tukiwapa nafasi. Big Up Sam !
 
Amereport vzr sana nadhani hizi kazi ni uhuru wa kujiachia pia sasa watu kama hawa inatakiwa wapewe bonus
 
Ngwamba huyo jamaa

Sam Mahela si wakupongezwa ni kama ametumwa kuchochea. Unaripoti mabaya tu kuchochea sehemu zingine. Nakumbuka hapa Arusha ile Diaspora ya Marekani sikumbuki jina kuna mwanafunzi alimwuliza mwakilishi wa CNN kuwa kwa kuripoti matukio na dhiki za Afrika mnafaidika nini. Akamweleza kuwa kwa maoni yake ni kuchochea machafuko namekuidhalilisha Afrika. Mtoto huyu maana ilikuwa siku ya watoto Wa shule akaungwa mono na Prof. ni mama Mmarekani alkuwa ametokea Sokoine Uni. Morogoro akaunga mkono. Mwakilishi Wa CNN alijibu mie natumwa sina la kufanya ingawa kweli kwa kuripoti tunaongezea machafuko. Ndio maana nasema Sam Mahela unatengeza machafuko na ujue Mungu atakushughulikia SIO MWINGINE. Mbona hujaenda kuwahoji viongozi Wa ukawa KWA NINI WAFUASI WAO WANACHOMA OFISI ZA CHAMA MAHAKAMA BARABARA ZIMEKOSA NINI. Ningemwona Sam Mahela kama anachungu au ni mahiri katika Kazi yake.
 
Sam Mahela si wakupongezwa ni kama ametumwa kuchochea. Unaripoti mabaya tu kuchochea sehemu zingine. Nakumbuka hapa Arusha ile Diaspora ya Marekani
sikumbuki jina kuna mwanafunzi alimwuliza mwakilishi wa CNN kuwa kwa kuripoti matukio na dhiki za Afrika mnafaidika nini. Akamweleza kuwa kwa maoni yake ni kuchochea machafuko namekuidhalilisha Afrika. Mtoto huyu maana ilikuwa siku ya watoto Wa shule akaungwa mono na Prof. ni mama Mmarekani alkuwa ametokea Sokoine Uni. Morogoro akaunga mkono. Mwakilishi Wa CNN alijibu mie natumwa sina la kufanya ingawa kweli kwa kuripoti tunaongezea machafuko. Ndio maana nasema Sam Mahela unatengeza machafuko na ujue Mungu atakushughulikia SIO MWINGINE. Mbona hujaenda kuwahoji viongozi Wa ukawa KWA NINI WAFUASI WAO WANACHOMA OFISI ZA CHAMA MAHAKAMA BARABARA ZIMEKOSA NINI. Ningemwona Sam Mahela kama anachungu au ni mahiri katika Kazi yake.

Unataka aripoti mazuri tu? Huelew taaluma ya utangazsji cc tunataka kuona kitu live na kwa taarifa stories za field huwa hazchujwi
 
Wenzako wamekesha wakipiga kazi usiku kucha kutujuza wewe umekalia kulia kulia kwenye key pads na kuwaita mburula.

Hata angekesha usiku akimlinda mbwa wangu ningemlipa mara 10 ya pesa anayolipewa hapo Itv
 
Huyu kijana anajitahidi kwa kweli. Amenifanya niangalie zaidi ITV. Anakuletea kitu live, penye kukimbia anakimbia hata kwe mabomu. Yupo safi.

Nakuombea Mungu akuinue..

Huyu ndugu yetu ni mchapa kazi mzuri sana. Nilikuwa naangalia ITV hadi saa 5 usiku hadi naenda kulala yuko hewani, lakin alfajir tena yupo kazini. Anajitahidi kufanya kazi yake kwa kiwango cha juu
 
Huyu kijana anajitahidi kwa kweli. Amenifanya niangalie zaidi ITV. Anakuletea kitu live, penye kukimbia anakimbia hata kwe mabomu. Yupo safi.

Nakuombea Mungu akuinue..

Sawa ni mzuri kweli, lakini mi nashauri apelekwe kikazi kule Goma DRC abadilishane vituo vya kazi na lile jembe Malevika afu tuone kama ataendelea kutabasamu huku akiripoti.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom