Sam and Esther wa Uganda!

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
Sam and Esther of Uganda. Inatia huzuni sana.



[ame=http://www.youtube.com/watch?v=3v7ZQUzr0yo&feature=related]YouTube - Sam and Esther[/ame]



Pray for these kids.
 
Inasikitisha sana.
Hivi kama serikali haijali raia wake hivi, na wanakijiji na majirani wako wapi? Utakuta majirani wanaenda msikitini mara 5 kwa siku au kanisani kila asubuhi lakini wanashindwa kuona kuwa kuwasaidia hawa ni baraka mara ngapi sijui!
Hii video imeharibu siku yangu kichizi. Duh.
 
AFRICA, AFRICA DIE ANOTHER DAY!! What we have seen is just a niche! makubwa yamejiificha tena mengi!! na angalia ni mzungu ndiye anaingilia kati kuokoa jahazi kama kawaida yao wanajenga news, ndiyo maana wanaendelea kutubeza wafrica.
 
AFRICA, AFRICA DIE ANOTHER DAY!! What we have seen is just a niche! makubwa yamejiificha tena mengi!! na angalia ni mzungu ndiye anaingilia kati kuokoa jahazi kama kawaida yao wanajenga news, ndiyo maana wanaendelea kutubeza wafrica.
Hapo ni halali kubezwa kabisa. Mi hainiingii akilini watoto kuwa katika hali hiyo katika nchi huru kama Uganda. Walaaniwe viongozi wao.
 
Kweli Afrika kuna kaazi kweli kweli, yaani mpaka mzungu aje kusaidia! Nchi na Raisi woote wameshindwa mpaka mzungu aje?

Aibu tupu
 
Hakuna haki kabisa. Watu wengine wana kipato cha mil. 10 kwa mwezi wengine wanakufa kwa njaa.

UFISADI ni hatari zaidi ya UKOLONI wallah tena.

Ama kweli Afrika tumekula hasara, Inabidi kudai uhuru upya.
 
duh....hii inaonyesha kiwango tulichofikia sasa na ubinafsi wetu. UFISADI ni adui numba moja wa Africa.
Tatizo nionalo mimi ni watu tumekuwa na matumizi yasiyokuwa ya lazima. Mtu mwenye msharaha wa Mil 10, bado atautumia wote, mwenye mshahara wa laki moja, atautumia wote. Na wote wataona hautoshi. Kitu tunachosahau ni kuwa yote ni kula upepo. Na ndo hapa Shetani anatukamata. Kama aliweza kumkamata Solomon na hekima yote, singali sisi? Ukiangalia kwenye tv, zimejaa matangazo kibao yanayokufanya utumie hela. Na wakati huo huo kuna watu wanakosa basic needs.
Je nani wa kulaumiwa? Serikali au sisi binafsi?
 
Back
Top Bottom