Salva Rweyemamu Vs Aboubakary Liongo nafasi ya Ikulu

FTP

JF-Expert Member
Jun 6, 2013
514
238
l1.jpg
DSC_2552.jpg
kKama kawaida Msemaji wa Ikulu ajaye atakuwa A.Liongo baada ya kuanza kufanya mazoezi kama mlivyoona akiongelea issue ya Rais Mtarajiwa E.Lowassa kuhusu kuugua kwake kule Ujerumani.

Baada ya Salva kumaliza ngwe yake katika ikulu ya Magogoni akiwa na Jk Kikwete sasa anajipanga kukabidhi kijiti kwa Liongo. Una Ushauri gani kwa Msemaji mtarajiwa wa Ikulu? Karibu
 
Hoja zilenge nafasi hizo siyo nani anafaa kuwa rais maana hiyo issue ilishamalizwa kitambo na TWAWEZA
 
Mi namshauri amwambie rais wetu mheshimiwa Lowasa apunguze uhuru wa vyombo vya habari hususani mitandao ya kijamii. Kuna watumiaji wa hii mitandao hasa wafuasi wa Chadema na Cuf wanaitumia kutoa matusi, kashfa , kejeli kwa viongozi wa nchi. Itungwe sheria ya kuwanyonga watu wote wanaotumia vibaya uhuru wa vyombo vya habari
 
Ikulu sio sehemu ya mchezo inahitaji busara sio kila mtu ataingia
 
Mi namshauri amwambie rais wetu mheshimiwa Lowasa apunguze uhuru wa vyombo vya habari hususani mitandao ya kijamii. Kuna watumiaji wa hii mitandao hasa wafuasi wa Chadema na Cuf wanaitumia kutoa matusi, kashfa , kejeli kwa viongozi wa nchi. Itungwe sheria ya kuwanyonga watu wote wanaotumia vibaya uhuru wa vyombo vya habari

Ushauri wako mzuri sana ila waanze kunyongwa wale watakaobainika kufanya ufisadi
 
Back
Top Bottom