Salva Rweyemamu maneno haya ni yako?

Haya ni maisha binafsi. Kila mtu ana uhuru wa kufanya chochote baada ya muda wa kazi.

Kama unafanya hayo kwa pesa yako toka mfukoni haina shida, lakini kama unatumia pesa iliyotoka kwa mtu mwingine halafu uakamwacha ana njaa haipendezi.
 
Mmmmh kwa mara ya kwanza nawezasema kuwa pale kulikkua na namna, mbona nimekuta kaweka za ponography? na majibu ya maswali magumu yamewekwa kirahisi vile? sorry, hivi kuna namna ingine ya kututhibitishia kuwa ni yeye? Mpwa wangu JB nakuamini sana, hebu nithibitishie hili hata kama ni kwenye PM kama kawaida yetu, thanks
 
Mmmmh kwa mara ya kwanza nawezasema kuwa pale kulikkua na namna, mbona nimekuta kaweka za ponography? na majibu ya maswali magumu yamewekwa kirahisi vile? sorry, hivi kuna namna ingine ya kututhibitishia kuwa ni yeye? Mpwa wangu JB nakuamini sana, hebu nithibitishie hili hata kama ni kwenye PM kama kawaida yetu, thanks, NASUBIRI Mkuu hoja toka kwako ili niandamane mwezi huu nianze kutokulipa na kukatwa kodi kaji-salary kangu kwajili ya matanuzi ya wachache, si heri angenunua kitimoto tukala wote? k
 
salva.jpg

Na hii picha aliposti jana kwenye akaunti yake ya tweeter
 
I envy for nations that put on use the right skills, intelligence and knowledge of their people. Sehemu kama ikulu si kila mtu anaweza kupewa kazi pale. I dont understand uchaguzi wa watu wanaokwenda pale unafanyikaje.
 
Mmmmh kwa mara ya kwanza nawezasema kuwa pale kulikkua na namna, mbona nimekuta kaweka za ponography? na majibu ya maswali magumu yamewekwa kirahisi vile? sorry, hivi kuna namna ingine ya kututhibitishia kuwa ni yeye? Mpwa wangu JB nakuamini sana, hebu nithibitishie hili hata kama ni kwenye PM kama kawaida yetu, thanks, NASUBIRI Mkuu hoja toka kwako ili niandamane mwezi huu nianze kutokulipa na kukatwa kodi kaji-salary kangu kwajili ya matanuzi ya wachache, si heri angenunua kitimoto tukala wote? k
Ninarithibitishia jukwaa hili kuwa yule ni yeye Salva Rweyemamu yule wa magogoni halisi!

Na ningewaomba watz wajadili juu ya matumizi mabaya ya ikulu si Rweyemamu!
 
Kiukweli hatuna rais bongo, JK ameshindwa kuongoza nchi anachofanya sasa ni kuzuga tu muda wake uishe. Haingii akilini rais unaenda kutanua club huku umeacha nchi ina matatizo kibao, umeme mpaka leo usanii tu, shilingi inazidi kuporomoka kwanini asikae chini atafuta jinsi ya kuokoa hali hii mbaya? Angekuwa mtu mwenye upeo wala huo mkutano asingeenda, unasababu gani ya kwenda kwenye vikao wakati nyumbani kwako moto unawaka na watoto hawana hata chakula??
 
Imenishangaza sana ktk huu msafara ambao sababu ya kuwahi huku haina tija kwa taifa letu kabisa!
Dalili za burudani ktk msafa huu niliziona tangu awali na nikapenyeza ushauri wa kupinga kuwahi bila mafanikio.
Lakini jana ktk mazingira nisiyo amini baba riz1 akatuamuru tumpeleke akale bata kwenye Kasino la maraha lililopo ktk jiji la Perth hapa Australia.

Hali ndiyo hiyo watanzania wenzangu hakuna cha mikutano ya wabeba box wala nini mkutano kamili unaaza ijumaa ila sisi ni bata kwenda mbele!

Bahati mbaya sikuwa na camera lakini wale wenye account ya twitter wamfollow ***** Salva maana yeye ndie alikuwa na kamera na tuliporudi hotelini akawa anaziweka twitter bila hata aibu!

JB asante kwa nondoz.

Lakini naona unamwaga sana kiasi kwamba wenzio watakustukia.
Unakumbuka KGB walivyomKolimba Alexander Litvinenko na kitu Po-210?
 
Back
Top Bottom