Salva Rweyemamu aondoka rasmi Ikulu, Kukabidhi Ofisi Nov 9, 2015

Tunashukuru sana Mh. Magufuli! Anza na watu wapya hata Bungeni Sitta atakuangusha mdondosheni kwa Kigezo cha Zamu ya Zanzibar au Umri hahitajiki Sitta wala Makinda kataa Mitumba kama alivyokataa Jakaya kwa Pius Msekwa 2005
 
Aseme amefukuzwa kinyemela na sio kutudanganya hapa....
Inasemekana Magufuli hataki kabisa huyo kiumbe.

Silva wahi faster Msoga mkaendelee kupiga dili na yule checkbob wa kikwere.


Hivi we mgogo wa Kigwe mbona umekuwa na mambo ya kiyahudi sana
 
Kwa nini kaandika barua kwa Kiengereza? Ikiwa sisi wenyewe tunashindwa kuitikuza lugha yetu, tunategemea nani atufanyie?


Mkuu usipate tabu..angalia ubini wake utaelewa jinsi watu wa jamii hiyo wanavyopenda kujikweza,mtu unaandika barua kuachia office zinazowakilishwa na taifa linalosema Kiswahili ni lugha ya taifa kisha unatumia kingereza!!!wangapi wataelewa?
 
WanaCCM walidhani UKAWA pekee ndio watakaoisoma namba inavyoelekea chini ya Magufuli wao ndio wanaanza kuisoma.
 
Alikuwa anawaandikia kina nani huu waraka? Maana kama ni sisi watanzania wengi wetu hiyo lugha tunaisikia ila hatuielewi.
 
Salva na Magufuli picha haziendi
mwingine ni mkuu wa wilaaya Muhingo Rweyemamu
wana historia ya beef na Magufuli....ilikuwa lazima aachie ngazi

Mkuu inaonekana huyu Magufuli picha haliendi na wahaya...

Naiona Clouds Media ikianza kustruggle sasa..
 
Hii idara ilikuwa ni kati ya idara zilizofanya vibaya katika utawala wa JK. Haikuwa updated. Haikuwa kisasa kabisa. Idara ya Kenya inafanya vizuri hadi inavutia. Taarifa zinatolewa kwa wakati na sahihi si kwa mipasho. Tembelea page ya Rais Kenyata ndio utajua watu wanafanya kazi.
 
Mzee Salva sahvi atakuwa anapatikana zaidi Bonga bar kinondoni kijiwe chake kikubwa
Wakati ule Yuko ikulu alikuwa kwa sana tu anajiachia hapo
 
Hii idara ilikuwa ni kati ya idara zilizofanya vibaya katika utawala wa JK. Haikuwa updated. Haikuwa kisasa kabisa. Idara ya Kenya inafanya vizuri hadi inavutia. Taarifa zinatolewa kwa wakati na sahihi si kwa mipasho. Tembelea page ya Rais Kenyata ndio utajua watu wanafanya kazi.
Sasa mkuu hyo Salva akitokea Whitehouse ana kwenda Bonga bar bar kuchezea papuc unafikiri akitoka hapo atakuwa up2dated tena
 
Ameondola na ikulu ina e-mail nyingi za watu kutuma ujumbe wana ya kiofisi wana ya gmail.com na yahoo.com pia na lazima kuna zingine nyingi.

Natumaini atakayeingia sasa hata ruhusu hayo ili mkulu apate kujionea yanayotumwa na wananchi.
 
Back
Top Bottom