Gembe
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 2,483
- 164
HEshima Mbele,
Nimekuwa nikijiuliza muda mrefu sana,hizi kauli anazozitua Mkurugenzi wa kurugenzi ya mawasiliano ya ikulu,ni zake mwenyewe binafsi au huwa anatumwa na Mhe. Rais.sababu kauli za hivi karibuni zina uwalakini
Na kama ni kweli anatumwa na Mzee aongee utumbo huu,ambo tumekuwa tukiusikia kila siku basi kuna tatizo hapa.Je ni sheria ipi ambayo inamruhu yeye kuzungumzia masuala mazito kwa kuwakebehi.
Jana akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na suala la chenge hasa kuhusika kwake na kutembea Bungeni muda wa jioni(hatujua kama alikuwa amevaa nguoa au la) ambalo linahusishwa na ushirikina,aliongea jambo moja ambalo limenikitisha sana.anajaribu kuwafunga mdomo waandishi wa habari wasiongelee mambo yanayolihusu taifa(mambo ya uchawi),mambo yanayogusa hisia za watanzania eti kwa sababu yanaweza kuwakimbika wawekezaji na wageni.
Pia alizungumzia Suala la Maalbino,liaache kukemwewa wala kuandikwa magazetini eti kisa linakimbiza wawekezaji,wananchi watajuaje??au wameguswa pabaya..wao inawezekana ndiyo wanawaua maalbino ili waendelee kutuzuga kwa imani zao kishirikina.kama ukikumbuka wakati tulipolishupalia suala la mafisadi alikuja na kauli kama hizi kwa mantiki ya kwamba maneno yetu yatakimbiza wahisani.
Toka Lini Uchawi ukakimbiza wawekezaji?au unakimbiza kura za watanzania na kupewa watu wasiopenda maendeleo.Salva anataka tuandike habari gain ambazo haziwakeri??hivi hawa wewekezaji ndiyo kina Sinclair??
Kimsingi naomba kuungwa hoja yangu, Salva should Step down!
Kama una mawazo niandikie
gembe@jamiiforums.com