William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,364
- Jamani wana-JF wote mlishiriki kuniunga mkono kuhusu thread yangu ya Jana kuhusu Uozo wa NBC bank, hatimaye leo wamenitafuta na kuomba sana radhi na kwamba wanaomba kiwepo kikao baina ya Management yao na Mimi, nasema siwezi kukaa nao chini peke yangu nawaomba wale wote wanaojiamini waliotoa maoni yao ambao wapo hapa mjini Dar tutafutane at +255 717 618 997 kusudi tuweze kujipanga namna ya kuwasaidia,
- Na wale wote ambao hamuwezi kujitokeza wenyewe please nitumiea ujumbe aidha hapa au kwenye sms +255 717 618 997 au watsap namba hiyo hiyo nipe ujumbe wako unaotaka ufike kesho kwa NBC bank, mimi siwaogopi na habari njema ni kwamba wanataka kuyja ofisini kwangu so nawaomba wale wote wana-JF wanaojiamini tukutane tuwape darasa live hawa masikini wa akili ya biashara, kwa kweli I am proud of you all mlioshiriki ile thread maana ujumbe umefika kama ulivyo, that is what JF should be kurekebisha sio kuzusha na majungu majungu, tukiweka FACTS hawatakuwa na ujanja ila kukubali kurekebishwa ndivyo zamani JF ilivyokuwa tukazane turudi tulikotoka jamani!!
SALUTE KWA WOTE!!
Le Mutuz System