Salum Rashid Hamduni kutoka ACP mpaka CP. Je, ndiye IGP ajaye baada ya Sirro kustaafu?

hapo amepandishwa ili kuipa heshima chombo/mhimili anaoenda kuuongoza, maana haiwezekana akaenda takukuru na cheo kidgo ndani ya polisi kwa kuwa bado atakuwa anawa salute ma ofisa wengine ndani ya polisi wakati tayari ana nafasu kubwa ndani ya chombo kingine, ndo maana akapewa cheo kikubwa ndani ya polisi baada ya igp yeye ndo anafuata kwa sasa ndani ya polisi...inampa heshima kwa ma ofisa wote ndani ya jeshi la polisi kasoro igp..
Sio kweli mzee.

Kwenye jeshi kuna mtu ambae mna cheo kimoja lakini yeye katangulia kupata cheo hiko,mtu huyu utaanza wewe kumsalimia kwa sababu huko majeshini mdogo ndo huanza kusalimia na mkubwa kazi yake kuitikia.

Kwa hiiyo mzee hamduni atakuwa amewakuta watu wengi tu ambao wamemtangulia kicheo jambo ambalo litamfanya yeye aanze kuwapigia saluti wao.

Mfano yule naibu wa IGP akikutana nae atadondoka salute tu na ishu ikawa kama hivyo yaani.

Wataalamu wenyewe wa majeshi watanisahihisha kama nimekosea
 
Nikianzia na TISS kwanza TISS yeyote yule hata mfagiaji au daktari hatakiwi ajulikane kuanzia mwanzo

JWTZ , Nao pia hawatakiwi wajulikane sababu TISS na JWTZ ni interdisciplinary yaani nao pia ni watu nyeti i.e jeshini hata private tu anaweza kutumiwa na majasusi
Acha ujuaji mzee wa kazi.

Polisi kuna watu maalumu hawatakiwi kujulikana,lakini wapo wengine kama wapepelezi,f.f.u polsisi wa kituoni hawa wanajulikana kwa sababu wanafanya kazi za moja kwa moja za kipolisi.

Usalama hivyo hivyo kuna watu maalumu ambao hawatakiwi kujulikana,lakini wapo watu ambao wanajulikana mfano kuna usalama ukienda kwenye nyumba za viongozi utawakuta,usalama wanaowalinda viongozi wapo wale wanafanya kazi za usalama za kila siku hivyo lazima wajulikane.

Jwshini hali kadhalika nadhani wapo watu wa aina hiyo.

Kwa hiyo ni uongo tu kwamba maofisa wa jeshi wakipanda vyeo ni siri,hakuna siri yeyote ile labda uwe kwenye vitengo maalumu.

Na ukiwa vitengo maalumu siri itakuwa ni kazi unayofanya na sio cheo unachopanda.
 
kwani hao watano unadhani wanapewa na IGP??

vyeo mpaka majukumu yao IGP hahusili navyo,ndio maana ilipotokea kutoelewana 2016 kati ya mangu na wenzie watatu walihamishwa idara,angeachiwa tu awanyooshe kama anawamudu.

mamlaka ya IGP kimajukumu yanaishia kwa ACP,SACP na DCP ni katibu mkuu,CP ni rais mwenyewe.
I.G.P atamsumbua sana sana nyota tatu wa polisi kuja chini.

Lakini kuanzia SSP,ACP,SACP hawa IGP hawa uwezo wa kuwafanya lolote zaidi ya kuwahamisha maeneo ya kazi tu.

Ndo mana mzee sirro kina siku aliwapakazia sana kwenye kikao fulani kwa sababu hawezi kuwafanya lolote lile.
 
Hamduni aligoma kabisa kupelekeshwa pelekeshwa na Ole sabaya pale Kilimanjaro!
hamduni alikuwa RPC,kimaelekezo tu bado sabaya alikuwa matoshi hapo.

achana na wamazo ya kugoma.
hamduni kama ni maelekezo angeyapata kwa mama anna mngirwa,na mama mnamjua tabia yake.
 
hamduni alikuwa RPC,kimaelekezo tu bado sabaya alikuwa matoshi hapo.

achana na wamazo ya kugoma.
hamduni kama ni maelekezo angeyapata kwa mama anna mngirwa,na mama mnamjua tabia yake.
Wewe ni mgeni wa siasa za bongo!

hamduni = Hamduni

anna = Anna

mghwira = Mghwira
 
Pamoja na kuteuliwa kuwa mkuu wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa pia bwana Hamdun amepandishwa cheo kutoka kuwa ACP mpaka kuwa CP ikiwa na maana amerukishwa vyeo vya SACP na DCP je ndio IGP ajae baada ya kamanda Sirro kustaafu?

Ngoja tusubiri tuone

Dogo anastahili, mnyenyekevu sana na hivyo vyeo SACP na DCP alivyorukishwa basi tu ila ni IGP ajaye.

JAMBAZI SABAYA alimuamrisha awasingizie IBRA LINE, LIM NA MACHAME SAFAR kuwa wamehujumu reli ili wapewe uhujumu uchumi HAMDUNI alikataa.
HAMDU aliliwa kichwa na KENGE lugola akiwa DAr kwasababu alikataa maagizo ya kukamata vijana wa CHADEMA wasio na hatia.
In SHORT WAISLAM wameonyesha UTU SANA KWENYE MADARAKA kuliko upande wa pili, taka usitake.
 
ila kwa sasa kamisheni aliyopewa na ukuu wa taasisi wote hao wanakuwa chini kwake kwa kuwa amepewa madaraka na raisi moja kwa moja na ni mkuu wa chombo cha ulinzi anarepoti moja kwa moja kwa raisi kamishina wengine wanaripoti kwa IGP.....
Si kweli hata hao makamishna wengine wanateuliwa na Rais

DG wa TISS Diwani Athuman pia ni kamishna wa Polisi siku akikutana na Musa yule kamishna aliyekuwa kamishna wa Polisi Zanzibar Diwani atabana mikono (atapiga saluti) Kamishna Mussa ndiye kamishna mkongwe wa Polisi.
 
Dogo anastahili, mnyenyekevu sana na hivyo vyeo SACP na DCP alivyorukishwa basi tu ila ni IGP ajaye.

JAMBAZI SABAYA alimuamrisha awasingizie IBRA LINE, LIM NA MACHAME SAFAR kuwa wamehujumu reli ili wapewe uhujumu uchumi HAMDUNI alikataa.
HAMDU aliliwa kichwa na KENGE lugola akiwa DAr kwasababu alikataa maagizo ya kukamata vijana wa CHADEMA wasio na hatia.
In SHORT WAISLAM wameonyesha UTU SANA KWENYE MADARAKA kuliko upande wa pili, taka usitake.
Leo Kange na Sabaya ni raia wote Wana kesi za rushwa waliyemnyanyasa ndie anaezisimamia.
Aliye juu mngoje chini
 
Si kweli hata hao makamishna wengine wanateuliwa na Rais

DG wa TISS Diwani Athuman pia ni kamishna wa Polisi siku akikutana na Musa yule kamishna aliyekuwa kamishna wa Polisi Zanzibar Diwani atabana mikono (atapiga saluti) Kamishna Mussa ndiye kamishna mkongwe wa Polisi.
mama amebalansi, mi naona ateue waislm wengi wasiopenda dhulma si hawa wenzetu wanajifanya kumtaja Mungu na makamera kanisani kama mafarisayo na masaduukayo huku mioyo yao ikimkirishetani kwa vitendo.
 
Back
Top Bottom