- Thread starter
- #141
Tanzania na watanzania wa leo si wa kuambiwa sera, kama ni sera CCM ina sera gani mpya tangu 2000, sera ya viwanda imeishia wapi.Naona ni kama wanajisahau na wanaendeshwa na mambo ya ccm badala wangefocuss kwenye sera zao.Tunaomba tujue wao watafanya nini ili tuwachague na sio ccm wamekosea nini? Badilikeni mnatuboa aisee! Wasomi wazima mmekuwaje tena mnakuwa na Gubu hivyo! Gubu gubu kama mama mwenye mimba duh