Uchaguzi 2020 Salum Mwalimu: Tumepata taarifa zipo Taasisi za Umma zinagharamia Kampeni za Mgombea wa CCM

Naona ni kama wanajisahau na wanaendeshwa na mambo ya ccm badala wangefocuss kwenye sera zao.Tunaomba tujue wao watafanya nini ili tuwachague na sio ccm wamekosea nini? Badilikeni mnatuboa aisee! Wasomi wazima mmekuwaje tena mnakuwa na Gubu hivyo! Gubu gubu kama mama mwenye mimba duh
Tanzania na watanzania wa leo si wa kuambiwa sera, kama ni sera CCM ina sera gani mpya tangu 2000, sera ya viwanda imeishia wapi.
 
Wewe kama unayajua mambo ya kuanzia 2015 mpaka 2020, tueleze mikataba ya kununua ndege, uwanja wa ndege Chattle, bwawa la umeme Stiegler, SGR kuna kitu gani. Maadili ya kazi yanasemaje kuhusu kumpa mkataba wa kujenga uwanja wa ndege mtu mliyeoa naye nyumba moja? Mapenzi mengine hayana maana. Tutetee sera na matendo. Tuachane na kutetea watu kama vile tunatetea timu za mpira. Timu ya mpira ndio utetetewa hata pale inapofungwa.
S

Sijaona kama nimekubishia kitu kwani mkapa aliandika kitabu mwisho mwaka gani mana mimi nazungumzia 2015 kuja 2020..
 
,-,Mjb-,?,"-,‐," TV
Wewew kama unayajua mambo ya kuanzia 2015 mpaka 2020, tueleze mikataba ya kununua ndege, uwanja wa ndege Chattle, bwawa la umeme Stiegler, SGR kuna kitu gani. Maadili ya kazi yanasema kumpa mkataba wa kujenga uwanja wa ndege mtu mliyeoa nyumba moja? Mapenzi mengine hayana maana. Tutetee sera na matendo. Tuachane na kutetea watu kama vile tunatetea timu za mpira. Timu ya mpira ndio utetetewa hata pale inapofungwa.
Xxn
 
Wewe kama unayajua mambo ya kuanzia 2015 mpaka 2020, tueleze mikataba ya kununua ndege, uwanja wa ndege Chattle, bwawa la umeme Stiegler, SGR kuna kitu gani. Maadili ya kazi yanasemaje kuhusu kumpa mkataba wa kujenga uwanja wa ndege mtu mliyeoa naye nyumba moja? Mapenzi mengine hayana maana. Tutetee sera na matendo. Tuachane na kutetea watu kama vile tunatetea timu za mpira. Timu ya mpira ndio utetetewa hata pale inapofungwa.
Unafurahi mikataba ya ujenzi wakipewa WACHINA ...acha wivu Boss cha kuzingatia ni gharama ni stahiki ... je imejengwa kwa kiwango? Mambo mengine ni umbea tu ...
 
“Tumepata taarifa kwamba zipo Taasisi za Umma zinaratibu na kugharamia Kampeni za Mgombea wa CCM Ndugu Magufuli, tunakamilisha uchunguzi na ushahidi tutaweka hadharani”. @salummwalimtz Viwanja vya Mnadani Igunga,Tabora.
Fanya uchunguzi na lete hewani tuwawajibishe viongozi wa taasisi hizo. Sheria zipo wazi na ulofa wa akili zao utayaponza matumbo yao.
 
Huyu jamaa mbweha kweli. So what?!! Mmeishiwa pesa mnataka nini tena. Hata viongozi wa dini wako tayari kumgharamia JPM kwa kuwa wameona nini anafanya. Sio kugharamia nyie vibaraka wa mabeberu mje kuuza nchi yetu pendwa. Tumewashtukia.
 
Back
Top Bottom