Salum Mwalimu: Kuugua na kulazwa ghafla kwa Mhe. John Heche

Wewe si ccm wala chama chochote kingine zaidi ya chadema. Maana chedema ndio huomba mabaya yaikumbe nchi hii. Sasa hapo mnataka tuingie gharama za uchaguzi mdogo.
Ccm haiombi raia yoyote apoteze maisha ili aje aone mafanikio ya serikali zake kama vile apande treni ya haraka kutoka Dar mpaka Moro,Dom na Mwanza.
Mh Heche Mungu akupe uponya wa haraka ili upate kuyajenga na Dc Luoga na Tarime ianze kuzalisha sukari.
Ccm imepoteza uhai wa Watanzania wengi sana mkuu acha kujitoa fahamu
 
Get well soon Mh Heche MUNGU atakuponya tu na uzima utarudi kama awali.

Hongereni Madaktari kwa Huduma nzuri kwa wagonjwa kwa siku ya Leo ya Pasaka na huo ndiyo uzalendo wa kazi.
 
Ccm imepoteza uhai wa Watanzania wengi sana mkuu acha kujitoa fahamu
Uliwapotteza wewe na chadema ndio maana unawafahamu kwa idadi. CCM imeomba ridhaa kwa wananchi ili iunde serikali ya kuwaletea maendeleo wananchi kama unavyoshuhudia. Wanafunzi wengi wanakwenda kukaa kwenye mabweni karibu na chuo. Wakati akiahidi mwanasayansi huyu hamkuamini.
 
Wakuu salaam. Natumai tupo wazima. Kama inavyozunguka mitandaoni kuhusu kulazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa Mhe. John Heche, taarifa hiyo ni ya kweli.

Mhe. Heche alifika Hospitali ya Taifa Muhimbili siku ya Jumanne wiki hii kwa uchunguzi wa afya yake, baada ya uchunguzi wa awali alishauriana na daktari wake na kukubaliana angerejea Hospitali baada ya wiki mbili kwa matibabu rasmi.

Hata hivyo jana usiku
Mhe. Heche alipata maumivu makali ya ghafla tumboni na leo asubuhi alikimbizwa Hospitali Muhimbili na kufanyiwa upasuaji (specialised surgery).

Upasuaji umeenda vizuri na hali yake inaendelea vema sana. Mwenyekiti wa Taifa Mhe. Freeman Mbowe amemtembelea kumjulia hali.

Salum Mwalim
Naibu Katibu Mkuu
CHADEMA
Jumapili April 17, 2017
Nampa pole Mheshimiwa mbunge na namuomba mwenyezi Mungu apone haraka na arudi kwenye mapambano.
 
Back
Top Bottom