Mkuu akili ya kimbumbumbu huzungumzia watu. Salum anagombea ubunge vipi jamaa wa magogoni kuzaa na waziri wake hawalizungumzii.
Yaani ukweli manyani hawayaoni makalio yao!Mkuu akili ya kimbumbumbu huzungumzia watu. Salum anagombea ubunge vipi jamaa wa magogoni kuzaa na waziri wake hawalizungumzii.
Nafikiri ndugu yangu hujaelewa maana ya sisi timu ya kampeni kuweka haya mambo bayana. Jana katika uzinduzi wa kampeni za CCM, watu walilenga kuaminishwa kuwa Salum Mwalimu sio mwanaume kamili na kuwa ni shoga, hivyo kukata mzizi wa fitina kuwa sio shoga ni kuweka wazi kuwa mtu huyu ana watoto, mashoga wengi hawasimamishi hivyo hawawezi kuzalisha, hivyo Mwalim sio shoga kwa muktadha huo, asilimia 70 ya wapiga kura ni waislamu na waislamu hatupendi ufilauni, hivyo kujulikana kuwa mgombea wetu ana sifa hizo tutapoteza kura asilimia kubwa na ukija kwa asilimia 30 iliyobaki ya wakristo pia tutapoteza.Mleta hoja nia yako ni kumchafua S. MWALIMU.
Na imekuwa hoja yako /yenu kwa muda mrefu hata kabla haijafikilika kwamba Kuna siku atagombea Kinondoni.
Mwanzoni aliekuwa anachafuliwa ni mbunge na sasa imeunganishwa upande wapili.
Sijui wewe ni jinsi gani lakini kama ni yule ninamfahamu naweza Pata mashaka ya elimu yako na malezi yako. Bila shaka kabisa utakuwa kwenye kundi la wasenge ndio maana unajadili mambo Binafsi ya faragha ambayo huna uwezo wa kuthibitisha.
Nakama ni suala la mahusiano kila mtu anauhuru wa Faragha yake nakama ingetokea Kuna ukweli tungemsikia mlengwa akilalamika sio wewe.
Nakushangaa badala Ya kufanya siasa yenye masilahi kwa umma UMEBAKI KUCHUNGULIA HUKU UNAKATA KIUNO.
KAMA UMENOGEWA JITOSE MAANA AISIFIAE MVUA IMEMNYEA. INGIA ULINGONI UTAPATA CHETI CHA NDOA.
Khaaa!So Esther Matiko kazaa na Salim mwalimu. .?
Hilo ni sawaMkuu akili ya kimbumbumbu huzungumzia watu. Salum anagombea ubunge vipi jamaa wa magogoni kuzaa na waziri wake hawalizungumzii.
Sijui kwanini muandishi hakuliwaza hili....Kupita maelezo mkuu. Kuna muda ni busara kukaa kimya.
Maana hili andiko litafungulia mtaro wa maji taka. [HASHTAG]#Patanuka[/HASHTAG]
Yaani hapa sijui kama ndio kamtetea au kampaka kinyesi kabisa...Aliyekuja kutetea ndo kaharibu zaidi, ni bora angeeleweka ni msela tu kuliko haya mapya.