Salum Mkambala wa Magic FM ni kilaza wa kutupwa

Napenda sana kuskiliza radio hususani vipindi vya uchambuzi wa kisiasa, basi nimeanza kuskiliza clouds kipindi Morning magic ule uchambuzi wa Kibwana Dachi napenda kwa kweli.

Lakini mwendeshaji mkuu wa kipindi hiki bwana Salum Mkambala amekuwa ni shida, jamaa ni mtupu kichwani.

Kila anapojaribu kuchangia jambo ni uzwazwa mtupu. Sijui ana elimu gani jamaa. Yaani haeleweki.

Magic Fm uongozi kwani huwa hamsikilizi vipindi vyenu. Huyu jamaa anaharibu mwenendo wa hiki kipindi cha Morning Magic hususani kwenye mambo ya uchambuzi.
Halafu sauti lake linavyokoroma
 
Kwa ufupi wanahabari wengi Tz hawaelewi mambo wanayoongelea na wala hawafanyi hata itafiti.Binafsi huwa sisikilizi kabisa redio wala kuangalia mijadala ya tv maana asilimia kubwa sana HAWAELEWI wanachoongea. Unaweza kusikiliza majadiliano mfano yanaongelea idqra unayofanyia kazi au fani ulosomea. Ukisikiliza hoja zao unagundua ni watu wanaamka asubuhi wanaingia kazini kuongea tu kusukuma muda bila kujalia wala kujua kuwa wanaongea uongo, na ndio wamekuwa wa kwanza kupotosha jamii..ukizingatia jamii yetu pia ina asilimia kubwa ya watu wasiopenda kutumia akili wala kufanya utafiti. Uandishi wa habari ni zaidi ya kusomea huo uandishi, ni kazi inayohitaji uelewa katika nyanja ya unachokiongelea. Unakuta mtu kasomea uandishi kaajiriwa kwa cheti, ila nje ya hapo haelewi hata kinachoendelea kwenye issues anazoziripoti ama anazozifanyia mjadala.
WALE WA KUJITETEA " NIMESEMA ASILIMIA KUBWA...Kama upo kwenye hiyo asilimia kubwa ndo unipinge
sasa hiki kiredio chao, wanakipindi chao kinahusisha matibabu ya miti shamba .

Unaambiwa ,Moja ya Dalili za Awali za Uvimbe wa kizazi, ni Mwanamke Kupata homa, Kichwa kuumwa , maumivu ya mgongo
 
Napenda sana kuskiliza radio hususani vipindi vya uchambuzi wa kisiasa, basi nimeanza kuskiliza clouds kipindi Morning magic ule uchambuzi wa Kibwana Dachi napenda kwa kweli.

Lakini mwendeshaji mkuu wa kipindi hiki bwana Salum Mkambala amekuwa ni shida, jamaa ni mtupu kichwani.

Kila anapojaribu kuchangia jambo ni uzwazwa mtupu. Sijui ana elimu gani jamaa. Yaani haeleweki.

Magic Fm uongozi kwani huwa hamsikilizi vipindi vyenu. Huyu jamaa anaharibu mwenendo wa hiki kipindi cha Morning Magic hususani kwenye mambo ya uchambuzi.
Umechanganya clouds na magic
 
mkuu mbona na ww ume andika MASHUDU maana unataja cloud fm mara magic fm yaan ni kama ww unamshutumu Bw.Mkambala ilihali hata na ww pia HUELEWEKI
Napenda sana kuskiliza radio hususani vipindi vya uchambuzi wa kisiasa, basi nimeanza kuskiliza clouds kipindi Morning magic ule uchambuzi wa Kibwana Dachi napenda kwa kweli.

Lakini mwendeshaji mkuu wa kipindi hiki bwana Salum Mkambala amekuwa ni shida, jamaa ni mtupu kichwani.

Kila anapojaribu kuchangia jambo ni uzwazwa mtupu. Sijui ana elimu gani jamaa. Yaani haeleweki.

Magic Fm uongozi kwani huwa hamsikilizi vipindi vyenu. Huyu jamaa anaharibu mwenendo wa hiki kipindi cha Morning Magic hususani kwenye mambo ya uchambuzi.
 
Sasa utajua kwa nini hayati Reginald Mengi alimtimua ITV
Tangu Magic fm itaifishwe na CCM imekuwa ya kipuuzi kama Uhuru fm
 
Hivi si alikuaga Abood tv enzi zile na kipindi cha pilika mtaani mwaka 2004/2005 then akaenda ITV au sio huyo
Ndy yeye tatizo anakunywa sana Konyagi yaani siku moja nilikuwa nae mahali anagida konyagi kama hana akili nzuri na kibaya zaidi anachelewa kulala
 
Kwa ufupi wanahabari wengi Tz hawaelewi mambo wanayoongelea na wala hawafanyi hata itafiti.Binafsi huwa sisikilizi kabisa redio wala kuangalia mijadala ya tv maana asilimia kubwa sana HAWAELEWI wanachoongea. Unaweza kusikiliza majadiliano mfano yanaongelea idqra unayofanyia kazi au fani ulosomea. Ukisikiliza hoja zao unagundua ni watu wanaamka asubuhi wanaingia kazini kuongea tu kusukuma muda bila kujalia wala kujua kuwa wanaongea uongo, na ndio wamekuwa wa kwanza kupotosha jamii..ukizingatia jamii yetu pia ina asilimia kubwa ya watu wasiopenda kutumia akili wala kufanya utafiti. Uandishi wa habari ni zaidi ya kusomea huo uandishi, ni kazi inayohitaji uelewa katika nyanja ya unachokiongelea. Unakuta mtu kasomea uandishi kaajiriwa kwa cheti, ila nje ya hapo haelewi hata kinachoendelea kwenye issues anazoziripoti ama anazozifanyia mjadala.
WALE WA KUJITETEA " NIMESEMA ASILIMIA KUBWA...Kama upo kwenye hiyo asilimia kubwa ndo unipinge😀
Sasa ukute mtu kapewa kazi ya kumhoji mwanasiasa au mchumi hapo aibu utaona wewe msikilizaji au mtazamaji
 
Kwa ufupi wanahabari wengi Tz hawaelewi mambo wanayoongelea na wala hawafanyi hata itafiti.Binafsi huwa sisikilizi kabisa redio wala kuangalia mijadala ya tv maana asilimia kubwa sana HAWAELEWI wanachoongea. Unaweza kusikiliza majadiliano mfano yanaongelea idqra unayofanyia kazi au fani ulosomea. Ukisikiliza hoja zao unagundua ni watu wanaamka asubuhi wanaingia kazini kuongea tu kusukuma muda bila kujalia wala kujua kuwa wanaongea uongo, na ndio wamekuwa wa kwanza kupotosha jamii..ukizingatia jamii yetu pia ina asilimia kubwa ya watu wasiopenda kutumia akili wala kufanya utafiti. Uandishi wa habari ni zaidi ya kusomea huo uandishi, ni kazi inayohitaji uelewa katika nyanja ya unachokiongelea. Unakuta mtu kasomea uandishi kaajiriwa kwa cheti, ila nje ya hapo haelewi hata kinachoendelea kwenye issues anazoziripoti ama anazozifanyia mjadala.
WALE WA KUJITETEA " NIMESEMA ASILIMIA KUBWA...Kama upo kwenye hiyo asilimia kubwa ndo unipinge
nipo kwenye tasnia na unachosema ni kweli, japo kuna kada zinajitahidi sana kujielimisha kwenye sekta yao ambapo wanamichezo wanaongoza ila hawa wengine wa Afya, elimu , siasa n.k bado sana sababu hawajikiti kukielewa kitu kiundani na historia bali huendeleza hapa hapa itakapoanzia bila kufuatilia chimbuko lake.

Kongole tena kwa waandishi wa habari za michezo, wanajitahidi sana kuifuatilia kada yao kuanzia historia mpaka matukio ya sasa.
 
Back
Top Bottom