Salum Abubakar"sure boy" imekuwaje ?

lifeline

Member
Sep 10, 2013
63
9
Hivi kwa nini "sure boy"hayupo kwenye Timu ya Taifa?nimeshangazwa na kuachwa kwa Sure boy ,nionavyo Mimi ni mmoja wa holding midfielders wazuri sana kwenye ukanda wetu.wadau wa soka mbona alijazungumziwa hili swala au majeruhi?
 
Hana Lolote Zaidi Ya Kupenda Sifa, Kucheza Na Jukwaa Na Kuonyesha Mahaba Ya Wazi Kwa Wazee Wa " MAFURIKO ".
 
Hivi kwa nini "sure boy"hayupo kwenye Timu ya Taifa?nimeshangazwa na kuachwa kwa Sure boy ,nionavyo Mimi ni mmoja wa holding midfielders wazuri sana kwenye ukanda wetu.wadau wa soka mbona alijazungumziwa hili swala au majeruhi?

sure boy ni holding midifider??? Sureboy ni kiungo mchezeshaji .. Kwa kifupi hata mie ningekua kocha sureboy hana nafasi mda wote anapiga square pas na back pass kiujumla huwa si mtu wa kupeleka tim mbele.
 
Yani mimi namkubali sana huyu mshkaji hata kwa kutoa pasi za mwisho pia hodari
 
Huyu dogo anajua,tatizo kubwa kubwa ni kucheza na jukwaa,kushindwa kupiga pasi za mwisho...
 
Hata mimi ningependa kupata taarifa za sureboy alipo, ana tatizo gani?
 
Hivi kwa nini "sure boy"hayupo kwenye Timu ya Taifa?nimeshangazwa na kuachwa kwa Sure boy ,nionavyo Mimi ni mmoja wa holding midfielders wazuri sana kwenye ukanda wetu.wadau wa soka mbona alijazungumziwa hili swala au majeruhi?
ni fitna tu ndio zimewajaa watz hamna jengine...
 
Back
Top Bottom