feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 6,803
- 12,666
Muache twende taratibu maana yeye anadhani kua kirusi hakifi na ndo maana unaambiwa kirusi fulani kinaweza kusavive labda mazingira fulani kwa muda fulani kutegemea na condition fulani sasa hapo ndo anashindwa kuelewa.
Kirusi kinakufa ila si kwa sababu rahisi na ndo maana kina muda fulani wa kusavive..mfano huwezi kunambia uchukue kirusi labda cha HIV ukakiweka kwenye joto la nyuzi 100 labda kwa 1hr halafu kikawa kizima lazima kitakufa maana kinachokipa uhai ni nuclear na tayari imeshaharibiwa.
Pia na kama kingikua hakifi nje ya Host hata kama hakuna mazingira yanayomruhusu kuishi wote tungelikua na ukimwi.

Kirusi ni kiumbe kinachotegemea kiumbe kingine (host) ili kiwe na maisha, ni living thing kwasababu ya kuwa na baadhi ya sifa za viumbe hai, lakini hajakamilika.