Luigi Alfred
Member
- Mar 17, 2016
- 65
- 44
Wadau mnalionje hili? Mtu anakaa kwenye Salon muda wote utafikiri hana kazi. Uso ukipauka anadonoa vipodozi vilivyowekwa kwa ajili ya wateja. Mara achungulie sura kwenye kioo mara ajimosoe.
Huu sio ustaarabu mnawaingiza hasara wenzenu waliowekeza katika miradi kama hiyo.
Huu sio ustaarabu mnawaingiza hasara wenzenu waliowekeza katika miradi kama hiyo.