Salome Makamba aomba Serikali itumie magari ya "Washawasha" kuwaondoa Wamasai Ngorongoro badala ya kudhibiti Wapinzani

Wewe hata ukifa hakuna atakaye sikitika.
You reason like a goat.
Shame on you. Moto wa kizazi chako uzimike.

7BFC1094-2682-4939-BDA0-014B3BF84D5A.jpeg
 
Mbunge wa viti maalumu, Salome Makamba ameitaka Serikali itumie magari ya Washawasha kuwaondoa Wamasai huko Ngorongoro badala ya kuyatumia kudhibiti Wapinzani.

Makamba amesema yeye ni balozi wa tembo hivyo anaelewa kinachoendelea hifadhini Ngorongoro kiukweli mbuga inaangamia kwa ukorofi wa Wamasai na matajiri kutoka Arusha na nchi jirani.

Mbunge huyo amekuwa wa pili kuitaka serikali itumie nguvu kuondoa Wamasai baada ya yule wa Mtwara mjini kutaka Vifaru vya Jeshi vitumike kuwaondoa.

Chanzo: TBC 2

Maendeleo hayana vyama!
None sense! Wana IQ ndogo sana hao.. hawajui madhara ya wanachoshauri
 
Ngorongoro imezalisha mabilioni ya fedha kwenye uchumi wa nchi; wamasai wakiwa sehemu ya vivutio vya utalii. Badala ya matumizi ya nguvu, serikali iwape motisha ili wahame kwa hiari. Kwa mfano, serikali ijenge flats maeneo fulani kama zile za JWTZ zilizojengwa maeneo mbalimbali nje ya miji then wahusika wahamishiwe huko. Mbona vijiji vya ujamaa enzi za Nyerere na Kawawa (Simba wa Vita) iliwezekana?

Atakayegoma kuhama huyo sasa atakuwa na jambo lake na haitakii mema nchi yetu hapo sasa nguvu inaweza kutumika. Ila kuwafukuza bila kuwaandalia makazi ni kuwaonea; ni unyanyasaji wala sio haki hata kidogo!
Masai kabisa ikakae kwenye majengo?
 
Njia pekee ni kuwapunguza idadi yao Ili waendane na ecologia tena kiungwana kwa kuwapeleka maeneo mengine salama.
Masai abadili shughuli. Tatizo hawataki kufuga kisasa. Ufugaji wao ni tatizo pia. Kwa hili, japo serikali yetu nayo haiaminiki, wamasai hata uwapeleke wapi watahama na kuwaletea shida jamii za wakulima. Ni jamii fulani ya kidwanzi sana.
 
Wanaweza wakahama kisha akapewa mtu binafsi viongozi wa kiafrica mbele ya pesa awajambo
 
Mbunge wa viti maalumu, Salome Makamba ameitaka Serikali itumie magari ya Washawasha kuwaondoa Wamasai huko Ngorongoro badala ya kuyatumia kudhibiti Wapinzani.

Makamba amesema yeye ni balozi wa tembo hivyo anaelewa kinachoendelea hifadhini Ngorongoro kiukweli mbuga inaangamia kwa ukorofi wa Wamasai na matajiri kutoka Arusha na nchi jirani.

Mbunge huyo amekuwa wa pili kuitaka serikali itumie nguvu kuondoa Wamasai baada ya yule wa Mtwara mjini kutaka Vifaru vya Jeshi vitumike kuwaondoa.

Chanzo: TBC 2

Maendeleo hayana vyama!
Huyu Hana analolijua zaidi ya kutetea ugali huwezi kusema ww Ni balozi wa tembo wakati asilimia kubwa ya tembo wako Serengeti na kilichopo ngorongoro Ni faru na wanyama wengine kwani wamasai Wana shida gani wapo huko hata kipindi hajazaliwa awamu ngapi zimepita zikawaacha hapo Leo mje kuwatoa she can't be serious yeye a sign pishi Basi kikubwa tunajua Ni wale wabunge wa mchakato basiiiiiiii.
 
Back
Top Bottom