Salman Rushdie ameshatolewa kwenye ventilator na sasa anapumua mwenyewe

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
Salman Rushdie aliyechomwa kisu huko Marekani, hali yake inazidi kuimarika baada ya kutolewa kwenye mashine ya kupumulia na sasa anapumua mwenyewe.

Aliyemdhuru amewekwa ndani bila dhamana kwakua imeonekana ni mtu hatari kwa jamii.

Pia soma

1660541010416.png
 
Kuchomwa Kisu mala kumi na tano kwenye mjadala hakukuwa na ulinzi hapo.
Au jamaa alichoma kwa spidi ya mota ?

Hicho kijitabu cha Rushdie wanazidi kukipa thamani kwa jinsi jamaa zetu wanavyo hangaika nacho.

Kwanini hatokei msomi nguli wa Kiislamu akakijibu ?

Watachinja watu hadi lini na watu wanazidi kuwa Critic kwenye nyanja zote kila kukicha ?

Hebu mjibuni huyo Rushdie ili kijinovo chake kionekane hakina mashiko.

Sasa hivi ukiulizwa swali unatakiwa kujibu tu.
Kutumia vitisho ni kushindwa hoja.
 
Salman Rushdie aliyechomwa kisu huko Marekani, hali yake inazidi kuimarika baada ya kutolewa kwenye mashine ya kupumulia na sasa anapumua mwenyewe.

Aliyemdhuru amewekwa ndani bila dhamana kwakua imeonekana ni mtu hatari kwa jamii.
Jamaa kapata matatizo ya kujitakia tu, japo hicho ni kitendo cha kihalifu..

Fatwa iliyowahi kutolewa dhidi ya huyu jamaa imetekelezwa.
 
Dini ina mungu dhaifu hii..nakumbuka yule shehe ubwabwa wa dsm alisema mange kimambi hauvuki/hamalizi mwaka atakufa ama kutokewa na jambo baya..mpaka leo mange anadunda tu mitaa ya usa huku sheihe ubwabwa akizidi kuaibika.

Kama mungu wao ana uwezo kwanini asingemuua huyo salman kitambo..mpaka asubiri usaidizi wa wafuasi wake brainwashed.

Get well soon Salman uje uuleze ulimwengu mengi zaidi yaliyo kwenye hicho kitabu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Jamaa kapata matatizo ya kujitakia tu, japo hicho ni kitendo cha kihalifu..

Fatwa iliyowahi kutolewa dhidi ya huyu jamaa imetekelezwa.
Matatizo wakati anapiga pesa ya maana na hicho kitabu.
Watu kwa sasa wanataka maisha tu yawanyokee.

Mtu anaishi Ulaya na ana kila kitu na walinzi juu.

Kwa kanovo kamoja tu kanakozidi kupata thamani.

Maana hata mimi nataka kukinunua hicho kitabu nione kuna nini hasa kilicho waghadhabisha jamaa zetu namna hii huku kikiwafunga midomo ya kukijibu kwa ufasaha.

Nashanga hata msomi nguli wa Afya na Dini Dr. Zaik Naik. Ameshindwa kukitolea ufafanuzi.
 
Dini ina mungu dhaifu hii..nakumbuka yule shehe ubwabwa wa dsm alisema mange kimambi hauvuki/hamalizi mwaka atakufa ama kutokewa na jambo baya..mpaka leo mange anadunda tu mitaa ya usa huku sheihe ubwabwa akizidi kuaibika.

Kama mungu wao ana uwezo kwanini asingemuua huyo salman kitambo..mpaka asubiri usaidizi wa wafuasi wake brainwashed.

Get well soon Salman uje uuleze ulimwengu mengi zaidi yaliyo kwenye hicho kitabu.

#MaendeleoHayanaChama
Kuwa na kiakili kidogo cha nyongeza, ibilisi alikuwa ni sehemu ya malaika kule mbinguni, kilichofanya atolewe ni ile hali ya ibilisi kukataa kumsujudia bin adam (binadumu) ilhali malaika wote wote walitiibamri ya Mungu. Alichofanya Mwenyezi Mungu ni kumtoa ktk kundi la malaika na ibilisi kulaaniwa.

Kwa hali hyo ibilisi akawa kalaaniwa na Mwenyezi Mungu, naye ibilisi akatoa ahadi mbele ya Mungu kwamna atawapoteza binadamu wote kama alivyopotea yeye (ibilisi) na kuahidi atamkalia binadamu pande zote yaani kushoto, kulia, mbele na nyuma, ndo maana kila tugeukapo ni mambo ya kiibilisi tu. Je, Mungu amemuua hadi leo??? Je, Mungu hana uwezo wa kumuuangamiza hatsa sasa???!!

Jibu ni hapana, zote kuangamiza au kunusuru ni busara zake Mungu. Kuna waovu na wakatili wangapi na M/Mungu hajawaangamiza hadi sasa, kuna wangapi wanafanya kulawiti hivi leo tendo ambalo ni baya na linamuudhi Mungu lakn hajaamua kuwaadhibu hadi leo??

Mungu ni mwema na mwenye busara, sote kwake tutarejea, hatuna mafikio mengine ila kwake tu. Ruka urukavyo, kwa Mungu ndo marejeo, salman rushdie afanye afanyavyo ila ajue ahadi yake imeshapangwa na Mungu, kila kitpkeacho ni mipango ya Mungu.
 
Ungekuja na hoja za kujibu yaliyokwenye kitabu chake na kudhihirisha ubaya wake nadhani ingependeza zaidi..tofauti na hapo utaonekana mfia dini usiye na maana.

#MaendeleoHayanaChama
Kitabu cha Salman sio kitabu kitakatifu kilichotoka kwa Mungu wala maneno ya Prophet ni hisia zake tu na ukafiri wake aliokubuhu nao, ambapo hata wewe unaweza tunga kitabu chako na ukajisemea utakavyo.,
Sisi tunalaani kwa kumtukana Mtume wetu S.A.W.
 
Back
Top Bottom