Uchaguzi 2020 Salma Kikwete, Mama wa Taifa mstaafu kazini

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,034
28,201
IMG_20200920_202857.jpg

Ni Salma Kikwete akiwa jimboni Mchinga akizisaka kura kwa udi na uvumba. Hapo anachanja mbuga mlimani -Maweni Mputwa
Pongezi nyingi kwake.

Mama anaenda "kutema chechee-Kwa sauti ya JK.

CCM INA HAZINA YA WANACHAMA
 
Aiseee !!

Lazima kuna shida mahali, lazima asee, hii sio hali ya kawaida mweeh!
Hakuna shida Wala nini sema kiki tu.. mama anatafuta yakwake pia ili aiandike historia yake.. anajua kuitumia nafasi yule mzee wa Msoga demokratik sana ndio maana unaona vitu kama hivi..
 
Angekuwa mama bora zaidi na sauti kubwa angekomaa na NGO yake kusupport Watanzania.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom