Yeah kizazi sana Mama Samia na huyu itabidi tuwaandalie pambano la ngumiMwanamke mpambanaji
Hakuna shida Wala nini sema kiki tu.. mama anatafuta yakwake pia ili aiandike historia yake.. anajua kuitumia nafasi yule mzee wa Msoga demokratik sana ndio maana unaona vitu kama hivi..Aiseee !!
Lazima kuna shida mahali, lazima asee, hii sio hali ya kawaida mweeh!
Hapana mbona poa tu ila je ameiva kisiasaKuna shidaa?
Teh tehAmekamia utasema ana stress.
Au mzee kikwete kaongeza mke mdogo ndiyo anamvuruga?