Salma Kikwete, Makamba na Malisa washindwa kuokoa jahazi Bukombe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Salma Kikwete, Makamba na Malisa washindwa kuokoa jahazi Bukombe

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Lu-ma-ga, Oct 13, 2010.

 1. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,847
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  Katika hali inayoonyesha CCM kuzidiwa nguvu kulitetea jimbo la Bukombe linalowaniwa na mbunge anayemaliza muda wa Mm.Emma Luhahula anaonekana kuzidiwa nguvu na mgombea wa CHADEMA Prof.Kulikoyela Kahigi (kulikoyela- kwa lugha ya kisukuma ni sehemu ya mapambano).
  Viongozi wa juu wa CCM wamekuwa wakienda japo kujaribu kuokoa jahazi bila mafanikio, kwa sasa inasemekana hata kamati kuu ya CCM imepewa taatifa za ugumu wa jimbo hilo na kwamba Makamba,salma na Malisa kwa nyakati tofauti wamejaribu bila mafanikio baada YA UONGOZI WA CCM mkoa shinyanga kutundika njumu kwa kusalimu amri.
  Lakini kabla ya hawa vigogo, mkuu wa chama hicho rais kikwete alitamkiwa na wasukuma wale kwa kupaza sauti za kuziba masikio"Hatumchugui mgombea huyo wa CCM na wakatamka wazi chaguo lao ni KAHIGI WACHADEMA" wakafunga ukurasa kwa kikwete.
  ingawaje baada ya hayo kikwete alimuagiza m/kti wa ccm mkoa SHINYANGA bwana Mgeja kubaki Bukombe hadi kieleweke bado hakikueleweka ndipo Makamba,salma na Malisa wakajitosa bila mafanikio.

  Inasemekana jana Zitto kabwe kachafua tena zaidi hali ya hewa ya Bukombe huku ikitarajiwa 16/10/2010 mkuu wa nchi mtarajiwa anashuka na nondo za mwisho mwisho kwa wapiga kura wa Bukombe.Hapo patamu wapenda mabadiliko ya kweli  chagua chademaaaaa

  [​IMG]
   
 2. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #2
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  si waliachie tu hilo jimbo? wanamaliza hela zetu bure kung'ang'ania kitu ambacho hakiwezekani. hizo hela watumie kwenye majimbo mengine waliyo na matumaini nayo
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Dahhh umenichekesha san a kwa comment zako..yaani gnome mbichi wao wanakazana tu
   
 4. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  watakoma mwaka huu, wasipofanya kama kibaki au mugabe, watakosa pa kutokea
   
 5. Mantissa

  Mantissa JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2010
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Heri kwani shy nako sasa kutakuwa pengine gumzo kama Tarime. Huo ndo uzalendo. Siyo mtu unapewa tu kanga au shati na kofia unauza haki yako. Hongereni watu wa Bukombe
   
 6. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #6
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  masaa haya inabidi msosi uwe unakaribia kuiva angalau ndo unaweza kuwa na matumaini. eti watu ndo kwanza wanatumwa wakaokote kuni muda huu! wanataka kula mchele wa kuloweka au wali?
  mambo mengine siyo ya kulazimisha jamani
   
 7. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Dr Slaa Bukombe 16/10/2010 - Ukanda wa Pwani hataki kura zao, maana tokea kampeni zianze Tanga, Pwani, DSM, Lindi, Mtwara Slaa hajagusa kabisa hiyo mikoa
   
 8. u

  urasa JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wawapeleke na wazee waliwaangukia wakina mwinyi,mkapa na sumaye
   
 9. Mubezi

  Mubezi Member

  #9
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ukiona hivyo wantembeza PESA
   
Loading...